Posts

Simon Msuva: Kiba anaitendea haki Tanzania

Image
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva ambaye msimu huu ameifungia klabu yake jumla ya mabao 14 amefunguka kwamba, msanii Alikiba anaitendea haki nchi yake ya Tanzania kwa kazi ya muziki ambapo amekuwa akifanya kazi bora zinazoleta sifa kwa nchi. Msuva amesema hayo leo kupitia kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kusema yeye anamkubali sana msanii huyo kutokana na uwezo wake kimuziki na namna anavyoweza kuimba vizuri kila apatapo nafasi. "Kwanza naupenda sana ule wimbo wa wale jamaa wa Kenya wameshirikisha Alikiba 'Unconditionally Bae', naukubali ule wimbo sababu watu wamepangilia sana kazi yao mle ndani na unayasikia kabisa, nimependa mavazi ya mule jinsi walivyovaa ni mavazi fulani ambayo yanawakilisha Afrika japo hata watu wa Ulaya wanavaa lakini naona Afrika watu wanapenda sana kuvaa vile" alisema Msuva Msuva aliendelea kutoa ufafanuzi juu ya wimbo huo na uwezo wa Alikiba "Ukisikiliza ule wimbo unaona jinsi ambavyo Alikiba amefanya vi...

#BREAKING: Wanafunzi wengine watatu wamepoteza maisha leo Geita

Image
Nimeipata hii taarifa kutoka mkoani Geita ikieleza kumetokea ajali ya Mtumbwi ambao ulibeba wanafunzi wa shule ya Ludegea ambapo wanafunzi watatu wamepoteza maisha baada ya kuzama na wengine 21 wamenusurika. Imeelezwa kuwa wanafunzi hao walikuwa njiani kuelekea shuleni wakati ajali ya kuzama mtumbwi huo ilipotokea.

Binti wa miaka 15 abakwa na vijana wanne Jijini Mwanza

Image
    Watu watatu wanashikiliwa na jeshi la polisi huku mwingine mmoja akiendelea kutafutwa kwa tuhuma za kumbaka binti mmoja mwenye umri wa miaka 15 wilayani Ilemela, mkoani Mwanza. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza DCP Ahmed Msangi amesema kwamba tukio hilo limetokea tarehe 21/05/2017 majira ya saa moja kamili jioni katika maeneo ya mamlaka ya pamba, kata ya Kirumba ambapo inadaiwa kuwa binti huyo ambaye pia ni mkazi wa Kirumba alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtuhumiwa aliyejulikana kwa jina moja la Phili na walipanga wakutane katika maeneo hayo. Inasemekana kuwa binti huyo alikutana na mpenzi wake mahali hapo kisha walikwenda sehemu yenye jumba bovu kuzungumza, wakiwa kwenye eneo hilo ghafla walitokea vijana wengine watatu wakishirikiana na Phili na kuanza kumfanyia ukatili kwa kumbaka. Inasemekana kuwa wakati wakiendelea na ukatili huo binti alipiga yowe akiomba msaada kutoka kwa wananchi, wananchi walifika eneo la tukio ...

Nimerekodiwa Video ya Ngono Bila Kujijua. Nifanyeje?

Image
    Wadau natumaini mu wazima Mi ni mjasiriamali toka Arusha but huwa nakuja Dar kwa ajili ya kuchukua bidhaa, nikiwa Dar napenda kujibururdisha ama MEEDA au KONA BAA/AMBIANCE AFRIKA SANA huwa nikipata demu wa kupiga nampelekaga Guest/hotel niliyofikia tunafurahia "game" asb namlipa chake anatambaa. Sasa katika kuingia guest kadhaa za hapa Dar nimegundua hawa jamaa wa guest wanaweka SECURITY CAMERAS kuanzia kwenye parking, kwenye korido, karibu na milango, vyumbani hadi bafuni. Je, ni haki kuweka security camera hadi vyumbani/bafuni?     Jana nikiwa kwenye foleni Magomeni Mapipa dogo mmoja akaja na DVD kibao za dini, chini yake ameweka DVD ya X ina picha ya WEMA nikainunua ile kufika hotelini nikaweka kwenye laptop najiona mimi na demu niliyemchukua wk 2 zilizopita.     Hakika nilichoka, sijui cha kufanya nishaurini wadau.

Mwenyekiti wa Tume ya uchunguzi Uvamizi wa Clouds atishiwa Maisha

Image
Mwenyekiti wa Kamati wa Uchunguzi wa Tukio la uvamizi wa kituo cha Habari cha Clouds Televisheni, Deodatus Balile ametishiwa maisha na kudukuliwa mawasiliana. Balile kwenye akaunti yake ya Facebook, ametanabaisha mbinu zilizokuwa zikitumiwa na watu wenye nia ovu naye kwa kudukua mawasiliano yake. Balile ameleeza kuwa mawasiliano hayo yaliingiliwa mpaka kwenye shughuli za Ofisi Balile  pia ni Mkuregenzi Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri "Juzi mawasiliano ya ofisini kwetu yalidukuliwa. Makala inayopaswa kusomwa kesho, waliojiteua kuwa wasaidizi wa aliyetaka nimwombe radhi kwa kufanya kazi niliyotumwa mchana kweupe, wametamba kuwa wanafuatilia maisha yangu hadi uvunguni mwa kitanda changu" amesema Balile. Nimeona nisali kwa sauti sala hii, ili nikipotea, hawa wasaidie kutoa majibu nilipo. Nimeambatanisha baadhi ya meseji zao za udukuzi kwangu.

Npe Amemjibu Makonda, Picha Limeanza Upyaaa

Image
  Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhojiwa na kituo cha Star Tv kuhusu mambo kadha wa kadha likiwemo suala la uvamizi wa Clouds Media na kusema Hakupaswa kumuingilia kwakuwa wote ni watumishi... Basi Nape amemjibu hivi... "Niliunda Kamati Kuchunguza TUKIO LA KUVAMIWA KITUO CHA UTANGAZAJI sio kumchunguza RC.Kama RC alikuwa mmoja wa wavamizi, HAYUKO JUU YA SHERIA!‬"

Van Gaal aomba radhi kwa kujiangusha

Image
Van Gaal aomba radhi kwa kujiangusha MANCHESTER, ENGLAND KOCHA wa Manchester United, Van Gaal, ameomba radhi kwa kitendo cha kujiangusha juzi mbele ya mwamuzi wa akiba, Mike Dean, katika mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Arsenal, kwenye Uwanja wa Old Trafford. Kocha huyo alijiangusha kwa makusudi huku akiwa na lengo la kumuonesha mwamuzi jinsi wachezaji wa Arsenal wanavyojiangusha kwa kumdanganya mwamuzi wa mchezo huo. Kocha huyo alimwambia mwamuzi kwamba mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez, amekuwa mjanja hivyo mara kwa mara anajiangusha kwa ajili ya kuomba ili waweze kutumia mipira ya adhabu. Hata hivyo, Van Gaal amekiri kwamba alifanya makosa kuonesha mfano huo mbele ya mashabiki ambao walionekana kushangilia. “Halikuwa jambo zuri kufanya mbele ya mwamuzi wa kati, mshika kibendera na mwamuzi wa akiba, ninakubali kwamba nilifanya makosa na natumia muda huu kuomba radhi kwa kitendo ambacho nilikifanya, japokuwa mashabiki walionekana kuf...

Wenger ashitushwa na kiwango cha Rashford

Image
MANCHESTER, ENGLAND KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger, amedai kwamba ameshitushwa na uwezo wa nyota wa Manchester United, Marcus Rashford, aliouonesha juzi katika mchezo wa Ligi Kuu nchini England. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 18, juzi alionesha kiwango cha hali ya juu katika mchezo huo dhidi ya Arsenal, ambapo alipachika mabao mawili ndani ya dakika tano katika kipindi cha kwanza kwenye ushindi wa mabao 3-2. Kutokana na kiwango hicho, Wenger amedai kwamba hakutarajia kuona uwezo mkubwa ambao aliuonesha mchezaji huyo. “Kwa upande wetu, tulishindwa kuwa na mipango mizuri ya kutafuta mabao kutokana na nafasi ambazo tulizipata, lakini katika mchezo huo nilikuja kushangazwa na uwezo wa nyota mpya wa Man United, Rashford. “Nadhani haikuwa kwangu tu, ilikuwa kwa kila mmoja kushangazwa na uwezo wa mchezaji huyo ambaye alifanikiwa kufunga mabao mawili, alikuwa na akili ya kwenda na mchezo na kujua wapi sehemu sahihi ya kukaa. “Ninaamini atakuja kuwa na u...

*Mdee, Kubenea wakamatwa, Simbachawene atoa neno>>>>Mahakama yakana kuzuia uchaguzi wa Meya Dar Soma Zaidi Hapa>>>>>

Image
Hakimu: Zuio umeya Dar feki *Mdee, Kubenea wakamatwa, Simbachawene neno NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema hakuna amri iliyotolewa kuzuia Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam uliotakiwa kufanyika Februari 26, mwaka huu. Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Waliarwande Lema, alisema hayo jana alipotakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu amri hiyo aliyodaiwa kuito kuzuia uchaguzi huo. “Hakuna amri ya kuzuia uchaguzi wa meya, aliyesema mahakama imetoa zuio ni muongo,” alisema Hakimu Lema. HAKIMU MFAWIDHI KISUTU Awali mapema asubuhi jana, waandishi wa habari za mahakama waliwasili ofisini kwa Hakimu Mkazi Mfawidhi Cysprian Mkeha kutaka ufafanuzi kuhusu zuio linalodaiwa kutolewa na mahakama hiyo kuzuia uchaguzi huo wa meya. Hakimu Mkeha, alisema Februari 25, mwaka huu hadi anaondoka kazini hakukuwa na maombi yoyote yaliyowasilishwa kupinga Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam. Alisema ...

YAJUE MAMPYA YALIO JIRI KATIKA MAGAZETI YA LEO Juma Nne March 1>>>SOMA ZAIDI HAPA>>>

Image

Halima Mdee Atupwa Rumande......Mahakama yakana kuzuia uchaguzi wa Meya Dar

Image
Wakati mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee akilala rumande akihusishwa na vurugu zilizotokea Jumapili wakati uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es Salaam ulipokwama, Mahakama ya Kisutu imelikana zuio lililotumika kuzuia shughuli hizo.  Uchaguzi huo ulipangwa kufanyika Januari 23, mwaka huu, lakini uliahirishwa ili kuandaa mfumo bora wa upatikanaji wajumbe kutokana na CCM kutaka kuingiza wapigakura nje ya waliotakiwa. Ulikwama tena Februari 8, baada ya Halmashauri ya Jiji la Dar kubaini kasoro ya nyongeza ya majina 14 ya wajumbe kutoka manispaa za Ilala na Kinondoni. Jumapili iliyopita ilikuwa ni mara ya tatu, kukwama tena kutokana na zuio lililosababishwa na kesi iliyofungiliwa na Saad Kimji na Suzan Masawe. Hata hivyo, zuio hilo la muda la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu lililotumika kuahirisha uchaguzi wa meya na naibu meya wa Jiji, uliopaswa kufanyika Februari 27, 2016 limebainika kuwa ni batili. Jana, Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu,...

CCM JOTO LAPANDA Wasaliti’ waanza kutumbuliwa bila ganzi

Image
Wasaliti’ CCM waanza kutumbuliwa bila ganzi Huku kukiwa na taarifa kuwa wasaliti wa CCM wanaotarajiwa kutimuliwa wengi ni watu maarufu hasa viongozi wa ngazi za mkoa, tayari viongozi 21 wa Manyara, wameshatumbuliwa majipu bila ganzi. Jumla ya viongozi 21, watatu wakiwa ni wa CCM Wilaya ya Babati Mjini mkoani Manyara na wengine 18 wa ngazi ya kata, wameshaadhibiwa na Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete alichokiita kutumbua majipu bila aibu. Inadaiwa kuwa viongozi hao walikuwa wanamshabikia aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa. Imedaiwa ushabiki ulisababisha CCM ipoteze jimbo na kata tano kati ya nane za Babati Mjini. Katibu wa CCM mkoani Manyara, Ndeng’aso Ndekubali aliwataja waliofukuzwa uanachama kuwa ni wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa, Cosmas Masauda, Zulekha Mohamed na mjumbe wa mkoa, Felix Kivuyo. “Hawa wamefutwa uanachama baada ya kudaiwa kukisaliti chama kwa kuwapigia kampeni wagombea wa vyama vya upinzani na kuwaombea kura kwenye Uchaguzi...

Wabunge wameitaka serikali kuhakikisha kuwa inaweka msisitizo katika suala la utawala bora.

Image
Wabunge wameitaka serikali kuhakikisha kuwa inaweka msisitizo katikasuala la utawala bora kama inania ya dhati ya kulifikisha taifa katika mpango wake iliyojiwekea sambamba na kuhakisha kuwa, uwekezaji unazingatia taratibu na sheria zilizopo. Wakichangia katika mjadala huo ambao unaingia siku ya tatu Mh Saidi  Kubenea mbunge wa Ubungo alisema katika bunge la kumi moja ya mambo makubwa yaliyoamu liwa ni sakata la fedha za Escrow lakini yapo maamuzi  ambayo hadi sasa hayajafanyiwa kazi na hivyo dhana ya utawla bora inakuwa haipo.   Aidha Mh Mbaraka dau mbunge wa Mafia amesema kuna visiwa vya Shungilimbili ambavyo wameuziwa wawekezaji kinyume na taratibu huku mh Jerome Bwanausi mbunge wa Lulindi akitaka watendaji kuwa wabunifu wa vyanzo vya mapato.   Awali katika mjadla huo Mh John Heche mbunge wa Tarime vijijini alisema kitendo cha polisi wa kutuliza ghasia kuingia ndani ya ukumbi wa bunge kuwadhibiti hakikuwa sahihi.   Kaul...

Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa ametoa majibu kuhusu taarifa zinazoandikwa>>> Soma Zaidi Hapa

Image
Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa ametoa majibu kuhusu taarifa zinazoandikwa kwenye baadhi ya magazeti nchini pamoja na mitandao kuwa nyumba yake iliyoko Mbezi jijini Dar es Salaam inauzwa baada ya kushindwa kulipa mkopo wa Benki ikidaiwa kuwa mkewe aliuchukua na kumpa mwanaume mwingine. Taarifa hizo zilieleza kuwa Mke wa Dk. Slaa, Josephine alichukua mkopo wa shilingi milioni 300 katika moja kati mabenki nchini na kushindwa kuirudisha fedha hiyo. Dk. Slaa ambaye yuko nchini Canada akijiendeleza kimasomo, amekanusha taarifa hizo na kueleleza kuwa yeye na mkewe Josephine hawajawahi kuchukua mkopo katika benki yoyote nchini. “Nataka nikuambie na uwajulishe Watanzania kwamba wala si mimi Dk. Slaa wala mke wangu, Josephine kwa wakati wowote ule hatujawahi kuchukua mkopo benki,” Dk. Slaa aliliambia gazeti la Mtanzania kwa njia ya simu. “Tangu nitoke Bungeni sijawahi kuchukua hata senti moja benki, achili...

Je WAJUA >>>>>Huyu Ndio Mke Wa RAISS ANAETUMIA MKONO WA KUSHOTO KUANDIKA>>> Mjue HAPA>>>

Image
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli.                                                                                       Mke wa Rais Wa Awamu ya Nne Tanzania Kuwa Kwanza Kutumia Mkono Wa Kushoto Kuandikia                                                              ...

Mgogoro kuhusu kurudiwa kwa uchaguzi viswani Zanzibar unazidi kupasua nchi, sasa viongozi wa Dini ya Kiislam wametofautiana. Sheikh Ponda Issa Ponda Apinga Uchaguzi Kurudiwa Zanzibar

Image
Mgogoro kuhusu kurudiwa kwa uchaguzi viswani Zanzibar unazidi kupasua nchi, sasa viongozi wa Dini ya Kiislam wametofautiana. Ikiwa ni siku moja baada ya Alhad Mussa Salum ambaye ni Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam kuunga mkono Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar (ZEC) kutangaza tarehe ya uchaguzi visiwani humo, Jumuiya ya Taasisi za Kiislam Tanzania imepinga. Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu nchini katika mkutano wake na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam amesema, kuruhusu kurudiwa kwa uchaguzi visiwani humo ni kupandikiza mbegu za chuki kwa wananchi. Sheikh Ponda amesema kuwa uchaguzi uliofanyika Oktoba mwaka jana haukuwa na mashaka kwa kuwa, waangalizi wa nje pia walithibitisha hilo. “Ripoti za waangalizi wa ndani na nje zilithibitisha kuwa uchaguzi haukuwa na dosari. Kuna sababu gani ya kurudia uchaguzi,” amehoji Sheikh Ponda. Wakati Sheikh Ponda akihoji sababu za ZEC kutaka kurudiwa kwa uchaguzi huo, Sheikh Alhad al...

The government has challenged Kigoma Urban MP, Zitto Kabwe, to submit any report on the USD 80million corruption scandal involving Stanbic Bank that has seen the country recover only USD 6million for further legal actions against the financial institution.

Image
Kigoma Urban MP, Zitto Kabwe                   The government has challenged Kigoma Urban MP, Zitto Kabwe, to submit any report on the USD 80million corruption scandal involving Stanbic Bank that has seen the country recover only USD 6million for further legal actions against the financial institution.   Attorney General (AG), George Masaju, made the remarks in Parliament on Monday, stating that the government was ready to involve both local and international legal experts to file a criminal case against the bank if it got a detailed report from the legislator.   “If the legislator has a good report that can help us take further action against the bank, I request him to bring it to the government to enable us take legal measures,” said the AG.   He said the Serious Fraud Office (SFO) in England agreed with the bank on repayment, failure of wh...

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imevipa siku saba vyama 14 vya siasa kuthibitisha kama vitashiriki uchaguzi wa marudio utakaofanyika Machi 20 mwaka huu.

Image
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imevipa siku saba  vyama 14 vya siasa kuthibitisha kama vitashiriki uchaguzi wa marudio utakaofanyika Machi 20 mwaka huu.   Vyama hivyo, kikiwamo cha CUF,  ndivyo vilivyosimamisha wagombea wa nafasi za urais, uwakilishi na udiwani katika majimbo 54 Unguja na Pemba katika Uchaguzi wa Oktoba 25, mwaka jana, kabla ya matokeo kufutwa na ZEC.    Uchunguzi wa Nipashe mjini Zanzibar umebaini kuwa wagombea wote tayari wamepewa mwongozo kupitia barua ya Januari 25, mwaka huu, na kutakiwa kuthibitisha kama vitashiriki uchaguzi wa marudio kuanzia kesho hadi Februari 11, mwaka huu.    Mwongozo huo umetolewa na Mkurugenzi wa ZEC, Salum Kassim Ali, na unavitaka vyama hivyo kuthibitisha ushiriki wao kwa maandishi.   Mkurugenzi huyo amesema kuwa tarehe ya kufanyika uchaguzi  imetangazwa rasimi katika gazeti la serikali ta...

Chadema yamtaka Lubuva kuwa mkweli SoMA Zaidi Hapa>>>

Image
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Jaji Damian Lubuva.   Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Jaji Damian Lubuva, kuwa mkweli na kuacha kuudanganya umma juu ya kuingiliwa kwa tume wakati wa Uchaguzi Mkuu.   Taarifa ya chama hicho kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam na Meneja Mawasiliano, Tumaini Makene, imeeleza kuwa kuingiliwa kwa tume siyo lazima kuwapo maelekezo maalum yanayotolewa wazi na kwamba hata kunyimwa bajeti ambayo imepitishwa na Bunge na kuchelewesha utekelezaji wa majukumu ikiwamo vifaa vya BVR ni mojawapo ya dalili za wazi kuwa tume haiko huru.   Alibainisha sifa nyingine kuwa ni kubadilishwa kwa watendaji wa tume katikati ya mchakato wa uchaguzi, kwani wengi walibadilishwa mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kinyume cha kanuni za maadili ya uchaguzi.   “Hadi leo Nec imeshindwa kutoa sababu zozote za maana k...

Umesikia hii>>>>>Kigogo bomoabomoa arejeshwa kazini. Soma zaidi Hapa

Image
. Siku chache baada ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, kuwasimamisha kazi, vigogo watatu wa Baraza la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc), Kigogo aliyekuwa akisimamia bomoabomoa amerudishwa kazini, imebainika.   Kwa mujibu wa taarifa za ndani zilizolifikia Nipashe zinaeleza kuwa, kigogo aliyerudishwa kazini siku nne tu mara baada ya kusimashwa kazi ni Mwanasheria Mkuu wa Nemc, Heche Suguta.                                                            Baraza la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira(Nemc)   Chanzo hicho kilieleza kuwa, Suguta alirudi kazini Januari 29, siku nne baada ya wizara hiyo kutangaza kumsimamisha kazi ili kupisha uchunguzi...