Posts

Showing posts with the label JILINDE

Hatari Tatu Zinazoukabili Uwekezaji Wako Wa Majengo Na Namna Ya Kuepukana Nazo

Image
Hatari Tatu Zinazoukabili Uwekezaji Wako Wa Majengo Na Namna Ya Kuepukana Nazo Uwekezaji wa majengo ni jambo nzuri, lakini jambo lolote nzuri huwa na changamoto zake. Uwekezaji wa majengo hukabiliwa na hatari nyingi sana ambazo humfanya mmiliki apate hasara na hata kupoteza kabisa alichowekeza kwa muda mrefu na kwa gharama kubwa. Ni hatari sana endapo mmiliki hataweza kuweka mikakati sahihi ya namna gani atapambana au kukabiliana nayo endapo itatokea dharura yoyote na wakati wowote. Lengo la makala hii ni kukuwezesha kutambua hatari zinazoikabili uwekezaji wa majengo, haya ni mambo ambayo watu wengi hawayazingatii sana kutokana na kutokuwa na utamaduni wa kuchukua tahadhari katika yale tuyafanyayo kama sehemu ya maisha yetu na hata mamlaka husika nahisi bado ziko usingizini katika kuhakikisha usalama wa raia kwenye makazi yao. Haya ni mambo hatari sana yanayoweza kukupotezea uwekezaji wako kwa muda mfupi endapo hutazingatia. 1. Majanga ya moto  Katika maisha...

Breaking Newßsss......👏👏👏

Image
Breaking newssss...... jana katika taasisi ya wanyama pori ya Nat Geo ilitangazwa kuwa ametokea Nyoka hatar san Ambaye hajawah kutokea duniania.. wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka  ulrefu wa 0.5sm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 30 kurudi nyuma.. mpaka sasa hakuna siraha ya kuweza kumuua nyoka huyo isipokuwa akiji uma mwenye ndo anaweza kufa, wanasayansi hao walieleza japo uchunguz zaid bado unaendelea... huyu ni nyoka anayeua kuliko nyoka wote waliowah kutokea katika historia ya maisha ya mwanadam.. nyoka huyu hupatikana katika simu pekee za nokia toch katika sehem ya game inaitwa snake xenzia..  asanteni kwa kufurah na umakin mkubwa katika usomaji wa matini hii... haya ni mambo ya wikiend jaman na iwe njema kwenu wote...

Hii stori ukiisikiliza unaweza usiamini lakini ndio hivyo imetokea

Image
Hii stori ukiisikiliza unaweza usiamini lakini ndio hivyo imetokea Dar, mama wa mtoto huyo amesema mwanae alikuwa mtundu sana tangu akiwa mdogo.. alifanya kila jitihada kumdhibiti lakini hakufanikiwa chochote !! Tukio likatokea siku chache zilizopita, mtoto huyo alikuwa maeneo ya viwanja vya Chuo Kikuu Dar es Salaam … jamaa mmoja aliacha funguo ya gari akawa anafanya mazoezi, mtoto huyo akaingia ndani ya gari na kuondoka nalo. Kilichofanya mtoto huyo akamatwe  ilikuwa hivi; kwanza alimgonga dereva wa bodaboda, akamgonga mwanajeshi na mwanafunzi mmoja maeneo ya Kimara, baadae gari ikatoka tairi… watu wakamkamata na kumpeleka Polisi. Katika mahojiano aliyofanyiwa mtoto huyo amesema alikuwa akifundishwa na watu fulani kuendesha gari na lengo lao ilikuwa wamtume kuiba gari aina ya land cruiser. Stori yote kwenye hekaheka hii hapa mama yake akisimulia tukio zima.                  ...

Je umetuma picha za utupu kwa simu? Tahadhari

Image
    Je umetuma picha za utupu kwa simu? Tahadhari   Je umewahi kutuma picha za utupu kwa mpenzi wako ? Je ulimshawishi akutumie ? Ikiwa jibu lako ni ndio basi tahadhari. Kwa mara ya kwanza mahakama imeamuru kulipwa kwa fidia na msichana mmoja ambaye alishurutishwa kutuma picha za utupu kupitia mtandao wa kijamii. Hii ni kufuatia kesi ambapo msichana mmoja alishawishiwa kutuma picha zake za uchi kwenda kwa mwalimu wake. Sasa inamaanisha kuwa yeyote ambaye atadhulumiwa kwa kushurutishwa kutuma au kupokea ujumbe unaohusu ngono au picha na kuathiriwa kisaikolojia kutokana na hilo anaweza kudai fidia. BBC ilipata fursa ya kuzungumza na muathiriwa katika kesi ambapo muathiriwa mwenyewe hawezi kutajwa jina.   Mahakama imeamuru kulipwa kwa fidia na msichana mmoja ambaye alishurutishwa kutuma picha za utupu kupitia mtandao wa kijamii. Muathiriwa anasema kuwa akiwa bado kijana alifanya urafiki na mwalimu katika shule mpya. Mwalimu hiyo William Whilloc...

WHERE IS CCM? (CCM IKO WAPI?)

WHERE IS CCM? (CCM IKO WAPI?) Rafiki yangu mmoja leo amenivunja mbavu , ananiambia juzi alimpigia simu kiongozi mmoja wa juu wa CCM ambaye wakati wa kampeni alikuwa ni kati ha watu 50 muhimu waliosimamia, kupigania na kulinda ushindi wa Magufuli (achilia mbali utata wa ushindi huo, hâta hivyo kikatiba tayari Magufuli ni Rais). Simu ile ilikuwa kutaka kujua maoni ya mwana CCM huyo nguli juu ya KASI YA UTENDAJI WA MAGUFULI na kwamba CCM inafarijika kwa kiasi gani. Jibu alilopew a mwandishi ni "NO COMMENT...", kwamba mwana CCM huyu aliyempigania Magufuli, hana maoni juu ya utendaji wa siku 22 za awali. Kisa hiki kikanipa tafakari muhimu sana siku ya leo, kwamba mbona hatuoni matamko mazito ya taasisi na ngazi za uongozi ndani ya CCM kusifia kwa uwazi hatua za bosi wao? Mbona sioni UVCCM, UWT, lile baraza la wazee la CCM na ile Idara ya vyuo vikuu? Mbona sioni pilikapilika za CCM kama chama kujawa na furaha kubwa sana? Kuna nini? Mara kadhaa nimeona mwana CCM mmoj...

Kutoka Iringa imenifikia hii inayohusu Pipi za Ivori.

Image
Kwenye zile ambazo zimenifikia leo mtu wangu ni pamoja  hii kutoka Kampuni ya Ivori-Iringa ambayo wamechukua time hii kuwatahadharisha Wateja wake wakiwemo Wasambazaji na Wauzaji wa Maduka ya Jumla na Reja reja,kuwa kumekuwepo na Matapeli katika baadhi ya mikoa Nchini,Wakiuza bidhaa Feki kwa kutumia jina la pipi za Ivori kwa madai ya muonekano mpya wa bidhaa zao. Taarifa ikufikie kuwa Kampuni ya Ivori Iringa haijaubadilisha muonekano wa pipi zake wala Nembo yake,Hakikisha kila pipi unayonunua  ina nembo halisi ya Ivori kutoka Iringa na kusisitiza kwa yeyote atakaenunua na Kutumia bidhaa  zinazofananishwa na Pipi za Ivori Iringa na kudhurika kiafya,basi kampuni ya Ivori Iringa haitahusika na malalamiko yoyote.

Wakili anayetaka kumuoa Malia Obama ajitokeza

Image

Duniani imeletwa na hii ‘selfie spoon’… kwenye meza ya chakula wewe na selfie zako tu (+Video)

Image
‘Kanga fotooo’ ..!! Sijui kama nimepatia sana hapo, hicho ni kionjo cha ngoma ambayo imemrudisha mkongwe Antoine Christophe Agbepa Mumba au jina lenye uzito wake ni  Koffi Olomide  kwenye headlines za muziki wa Congo !! Umaarufu wa ngoma ya ‘ Selfie ‘ kwanza umeanza kubebwa na jina la wimbo wenyewe… wapenzi wa pichaz za ‘Selfie’ walirahisishiwa kutoa selfie kali zaidi kwenye ubora wake kwa kutumia ‘Selfie stick’.. unaambiwa sasahivi ukae tayari kuipokea ‘selfie spoon’… ni kwamba kijiko kinakupa na selfie hapohapo. Kama utapenda kushare selfie zako na watu wako wakati wa mlo basi hii itakufaa sana, unaweza kucheki kwenye video selfie spoon inavyofanya kazi mtu wangu.

Jinsi Punyeto Inavyo Sababisha Ukosefu Na Upungufu Wa Nguvu za Kiume

Image
Ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni  tatizo  linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani.  Zipo  sababu  nyingi  zinazo  sababisha  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.   Miongoni  mwa  sababu  hizo  ni  pamoja  na  maradhi  kisukari, presha,shinikizo  la  damu, moyo, figo, matatizo  kwenye  mishipa  ya  ubongo  &  mishipa  ya  uti  wa mgongo, matatizo  kwenye  mishipa itumikayo  kusafrisha damu  mwilini, maradhi  ya  ngiri,  pamoja  na   upigaji  punyeto  kwa  muda  mrefu. Katika  makala  yetu  ya  leo, tutaangalia  namna   suala  la  upigaji  punyeto linavyo  athiri  nguvu  za  kium...