Posts

Showing posts with the label WASANII

Baraka Da Prince Amruka Kimanga Nisha..Adai Hana Uhusiano Wowote wa Kimapenzi na Nisha

Image
Baraka Da Prince Amruka Kimanga Nisha..Adai Hana Uhusiano Wowote wa Kimapenzi na Nisha Hatimaye Baraka Da Prince ameweka wazi kuwa hakuna uhusiano wowote wa kimapenzi na Staa wa Bongo Movie Nisha ila mashabiki ndiyo wanakuza mambo. Baraka amesikika kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Afrika Radio,  akisema yeye na Bi dada ni washikaji tu na wamekuwa wakionekana sehemu mbalimbali pamoja ndiyo maana watu wanasema ni wapenzi. “Siko kwenye mahusiano offcorse na hata kama ningekuwa kwenye mahusiano sijawa  tayari kuzungumzia mahusiano yangu” Alisema Baraka na kuongeza “Nisha Mimi ni rafiki yangu bana,ni mtu ambaye nipo naye muda mwingi,hivyo sina mahusiano yoyote na Nisha” Ameongeza pia kuwa Watu wamekuwa wakimpakazia mara kibao kuwa ana mahusiano na Watu wakati si Kweli, Baadhi ya wasichana baraka aliowahi kutajwa kuwa nao kwenye mahusiano ni Agness Masogange na Menina.

MAJIBU YA MADEE KUHUSU KUCHOMA GARI BAADA YA ARSENAL KUTULIZWA NA CHELSEA

Image
 Star wa Bongo Flavor Madee jana aliahidi kuchoma moja ya gari lake endapo timu ya Chelsea ingeifunga Arsenal kwenye mchezo wa Premier League jana January 24 kwenye uwanja wa Emirates. Mchezo huo ulimalizika kwa Arsenal kukubali kipigo cha goli 1-0 lilifungwa na Diego Costa dakika ya 23 kipindi cha kwanza na kudumu kwa dakika zote za mchezo huo. Wadau mbalimbali walikuwa na hamu ya kujua kama Madee alitimiza azma yake ya kulitia kibiriti gari lake baada ya Chelsea kuituliza Arsenal kwenye uwanja wake wa nyumbani na kuendeleza rekodi ya kutopoteza mechi nyingi za ligi dhidi ya mahasimu wao wa jiji la London. Leo asubuhi Madee ame-post ujumbe kwenye account yake ya tweeter akijibu maswali mengi kuhusu matokeo ya mechi ya Arsenal vs Chelsea na yeye kuchoma gari lake. Star huyo ameandika ujumbe unaosomeka hivi: “Sina utajiri huo mpaka kufikia hatua ya kuchoma gari. Hata kama ningekuwa tajiri vipi, nisingefanya upumbavu huo”. Jana Madee hakupokea simu ambazo ali...

SHILOLE NDANI YA MAHABA MPYA...........

Image
                                           Shilole live na kidume mpya  Staa mwenye makeke wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake mpya. Dar es Salaam: Baada ya kumwagana na aliyekuwa mwandani wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, staa mwenye makeke wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametua kwa kidume mpya ambaye ndiye mrithi wa Nuh ambapo wikienda iliyopita alijiachia naye ‘live’ wakiwa nchini Afrika Kusini ‘Sauz’. Akizungumza na mwanahabari wetu kwa njia ya simu wikiendi iliyopita, Shilole alifunguka kwamba hataki tena ‘stresi’ kama alizokuwa akizipata kwa mpenzi wake huyo wa zamani hivyo sasa hivi anataka maisha ya furaha na jinsi gani ya kutumia akili yake ili kutengeneza fedha. “Acha tu sasa hivi nipunguze ma...

HALI YA PETER WA P-SQUARE BADO TETE

Image
                        HALI YA PETER WA P-SQUARE BADO TETE  Peter Okoye. HABARI zikufikie mpenda burudani kuwa staa anayeunda kundi la P-Square, Peter Okoye hayuko poa kiafya na bado anahitaji maombi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Peter ambaye pia ni pacha na Paul, alitupia picha akiwa hospitali katika harakati ya kuchukua vipimo kisha akaandika maneno yaliyosomeka; Akiingizwa kwenye T-SCAN. “Naelekea kuchukua kipimo cha CT Scan leo. Najaribu kuwa mwenye afya kwa asilimia 100. Haikuwa jambo rahisi kuwa katika hali hii ya sasa kwa wiki chache zilizopita. Asanteni sana jamani kwa maombi yenu, nawapenda na muendelee kuniombea.” Baada ya kuachia picha na maneno hayo, mashabiki wake wengi walijumuika naye kwenye ukurasa wake huo na kumpa pole huku wengine wakimuombea apone haraka.

Picha ya Mwanaharakati Joyce Kiria Yasababisha Utata Mtandaoni...Wengi Wamkosoa Kwa Kumwaga Radhi

Image
Joyce Kiria Jana Katika Mtandao wa Instagram Mwanaharakati wa Mambo ya Wanawake kupitia kipindi cha Wanawale Live Aliamua kubreak the Internet kwa kupost picha hiyo hapo juu ikiwa inaonyesha Sehemu kubwa ya paja....Mashabiki wake hawajachukulia kitendo hicho vizuri na kuanza kumshambulia kwa Comments.... Caption ya Picha Hiyo ilikuwa ' 2016 uzee nimeuacha Himo njia panda..no more charanga..am beautiful, hot and Sexy..Good Evening' Nimekuwekea Baadhi ya Comments za mashabiki wake hapa; hansdady  Unapoelekea sasa si pazuri nakuomba angalia ulipotoka hiyo picha si ya superwoman ninayemfahamu mm richardbendera Don't let yourself to loose your value. Really your beauty and sex phenotype but keep your body in respect ways coz you have a family and young kid, how will you see when he grown up and became a man marrymasawe123 Umevaa nguo ya heshima sana imekupendeza 59min  kadaughter_daniel  Unajishushia thamani yako loh unapoteza mashabiki Nahisi un...

DAR ES SALAAM! MAJARIBU! Staa anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando yupo hoi kitandani baada ya kung’atwa na nyoka.

Image
Staa anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando. DAR ES SALAAM! MAJARIBU! Staa anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando yupo hoi kitandani baada ya kung’atwa na nyoka. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba Rose akiwa anaingia getini usiku wa kuamkia Jumatano iliyopita, nyumbani kwake mkoani Dodoma aling’atwa na nyoka mguuni na kukimbizwa hospitali iliyopo Area C mkoani humo. “Maskini Rose ana majanga sana kwa kweli maana alikuwa bado hajapona ule ugonjwa wa kuvimba miguu na mikono lakini amejikuta katika wakati mgumu tena baada ya kung’atwa na nyoka nyumbani kwake,” kilisema chanzo hicho. Baada ya kuzipata habari hizo, paparazi wetu alimtafuta Rose kwa njia ya simu yake ya mkononi ambapo ilipokelewa na mtu aliyejitambulisha kuwa ni ndugu yake, akasema; “Hii simu imeachwa hapa nyumbani kwani dada (Rose) amepelekwa hospitali Area C, ameng’atwa na nyoka usiku akiwa anaingia getini hapa nyumbani hivyo amepumzishwa hospi...

BAADA YA DIAMOND KUJIITA SIMBA, HUYU HAPA MWINGINE AIBUKA

Image
Baada ya DIAMOND PLATNUMZ Kujiita Simba yaliibuka mengi kuhusu suala hilo nakufikia hatua kubwa ya kuzua mjadala  ya juu ni nani mmiliki wa jina hilo? kati ya Diamond Platnumz, Mr Blue na Afande Sele. Sekeseke hilo la jina la Simba limehamia nchini Kenya baada ya msanii mahiri nchini humo kuanza kujiita jina hilo, kupitia ukurasa wake wa Instagram Willy Paul ameweka picha na kuandika neno Simba, jambo lililozua mjadala wadau mbalimbali wa muziki.

HII NDIO SILAHA ALIYOITUMIA ALIKIBA KUMNASA JOKATE

Image
Mahusiano yanasiri kubwa na kila mmoja anajua jinsi gani alivyoingia katika mahusiano ya kimapenzi, kwa upande wake Ben Paul Hit Maker wa Ningefanyaje aliwahi kufall In Love na msichana ambaye hakumtaja jina katika mazingira ambayo hakuyategemea ila ukaribu ndio uliwapelekea kuwa pamoja, mpaka akamua kuachia wimbo huo wa Ninefanyaje. Hivi ndivo msanii mwenye sauti nyororo nchini Alikba ambaye inasemekana anatoka kimapenzi na mwanadada nyota kwenye masuala ya mitindo, muziki na filamu maarufu kama Jokate walivyo ingia kwenye penzi zito, baada yakuwa marafiki. Akizungumza katika moja ya mahojiana yake Alikiba ameeleza kuwa hajawahi kutongoza mwanamke, hujikuta tu wanaingia kwenye mahusiano baada ya kujenga urafiki “Haya mambo ya kutongoza mimi sijatongozaga,” alisema . “Mimi nakwambia maisha yangu yote sijawahi kutongoza. Tunakuwa friendly hivyo vitu vinatokea halafu basi, tayari

Will Smith kususia tuzo za Oscars

Image
Will Smith asema anamuunga mkono mkewe Jada Pinkett smith kususia onyesho la tuzo la Oscars 2016    Msanii wa Filamu Will Smith amethibitisha kwamba ataungana na mkewe, Jada Pinkett Smith, katika kususia tuzo la Oscars mwezi ujao. Msanii huyo anayetambuliwa kwa filamu yake ya ''The Men in Black'' amesema itakua "vigumu" kuhudhuria wakati kujna mzozo kuhusu ukosefu wa uwakilishi wa watu wa tambaka mbali mbali katika uteuzi wa tuzo hilo mwaka huu. " Hatujihisi vizuri kusimama huko na kusema hii ni sawa,"alimueleza mtangazaji wa kipindi cha Good Morning America Robin Roberts. Will Smith alitarajiwa na wengi kuwa katika orodha ya walioteuliwa kuwania tuzo la Oscars mwaka huu    Msanii wa vichekesho Chris Rock anakabiliwana miito ya kumtaka ajiondoe kwenye kazi aliyopewa kama mwongozaji wa taratibu za tuzo la Oscas mwaka huu, huku mzozo huo ukiendelea. Katika ma...

MAPENZI HAYAANGALI UMRI>>>>Mariah Carey ampata mchumba| SOMA ZAIDI HAPA

Image
Carey allihudhuria sherehe ya kufungua kasino ya Packer mjini Macau mwaka jana                                                Mwanamuziki nyota wa muziki aina ya pop Mariah Carey amempata mchumba. BBC imefahamu kwamba mwanamuziki huyo kutoka Marekani ana uchumba na bilionea kutoka Australia James Packer. Wawili hao walionyesha uhusiano wao hadharani Juni mwaka jana baada ya kwenda likizoni pamoja nchini Italia. Bw Packer, 47, ndiye wa nne kwa utajiri Australia, kwa mujibu wa Forbes. Utajiri wake unakadiriwa kuwa zaidi ya A$4.7bn ($3.1bn £2.3bn). Mariah Carey, 45, alichomoa albamu yake ya kwanza 1990 na ni mmoja wa wanamuziki waliofanikiwa zaidi duniani. Bw Packer aliyerithi himaya ya kibiashara ya vyombo vya habari Australia kutoka kwa babake Kerry Packer, na sasa anamiliki kasino nyingi. Alitengana na mkewe wa pili...

DIAMOND Makes A Confession That May Leave ZARI HASSSAN In Shock, LOOK.

Image
Celebrated Bongo artist, Diamond, has revealed that he has another six year old child out of wedlock after he impregnated a lady from Mwanza when he was an upcoming artist. While speaking in a media interview, the mellow voiced singer disclosed that he had a one night stand with a lady and realised after several months that she fell pregnant. However, the lady lied to him that she had @b@rt3d the child but Diamond hired a team of private investigators who then found out that his child is alive. Despite Diamond’s endless efforts to link up with the lady so that he can take care of the child, she doesn’t want anything to do with him. She has blocked his calls and from the look of things, the celebrated Tanzanian artist will never see his baby. ANDIKA MAONI YAKO HAPA CHINI

Je ni Kweli Jacqueline Woper Amekihama Chama cha Chadema na Hataki Tena Kuitwa Mtoto wa Lowassa! Ukweli Ndio Huu

Image
JACK WOLPER Staa mrembo wa Bongo Movies, Jacqueline Woper ambaye alikuwa msatari wa mbele kumpigia kampeni aliekuwa mgombe urasi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye uchaguzi wa mwaka jana, Mh. Edward Lowassa amekanusha habari iliyoripotiwa na moja ya magazeti ‘pendwa’ kuwa kwa sasa staa huyo ameshajitoa CHADEMA na hataki tena kuitwa mtoto wa Lowassa ‘Jacqueline Lowassa’ kama alivyo jiita kipindi kile cha kampeni. Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Wolper aliweka picha ya gareti hilo na kuandika haya. Hapana labda wolper feki me nichadema paka kesho kutwa namtondogoo. …pipooooooozi ��✌✌✌✌✌✌#namagazeti nyumbani kwakukuza habari simnajuagaa. Utasikia tafarani eti jacq chadema ameimwaga���� #broo kweli uliimba ANDIKA MAONI YAKO HAPA CHINI

ALI KIBA Adai Hajui Kutongoza na Hajawahi Tongoza Mwanamke..Wote Aliowapitia Wamejileta Wenyewe

Image
Mwanamuziki machachari wa Bongo Flava Ali Kiba Amefunguka kwenye kipindi cha Sporah Show kuwa toka ajue kitu mapenzi hajawahi tongoza msichana na hajui kutongoza..Amedai wanawake wote ambao amewahi kuwa nao kimapenzi hakuwatongoza bali ilianza tu kama ushikaji na mwisho kujikuta wameshakuwa wapenzi bila kujua.... Kwa sasa Ali Kiba anatoka na Mrembo Jokate...Kumbe na Hakutongozwa eehh!                                                                                                      ...

Download free: Exclusive YA VIDEO YA DIAMOND: Diamond 'Nimewaona wanaosema Tiffah sio mtoto wangu' MAJIBU YAKE YAPO HAOPA>>

Image
Mwimbaji staa wa Tanzania Diamond Platnumz alikutana na mtangazaji wa AMPLIFAYA & Top 20 za CloudsFM Millard Ayo na kuzungumzia post na comments ambazo amekua akiziona zikisema mtoto sio wake na kwamba akapime DNA, majibu yake yote aliyoyatoa yapo kwenye hii video hapa chini

Demu Kutoka Kenya Ajulikanae Kama TIARA Amshukia Zari The Lady Boss..Amtaka Aache Kumtukana Wema la Sivyo...

Image
Demu Kutoka Kenya Ajulikanae Kama TIARA Amshukia Zari The Lady Boss..Amtaka Aache Kumtukana Wema la Sivyo.. . Ameandika Haya na Kututumia tumfikishie Zari Hassan 'You might have heard the saying that goes... “There is a special place in hell for women who don’t help other women”.Well, it will be so unfortunate for some if this holds in the next life. Now, you might have an idea of whom am referring to.I am sure many were surprised as I was to hear about a woman with a grown ass fighting with a younger one because of a man (young enough to be her son). I mean, which 30+, to be precise 40+ woman in her right senses can brag of owning a man unless she is desperate .Am just wondering whether you used the statement on one of Ivan's girlfriends when you were still married to him. Some years later the marriage took a one way ticket to hell…ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaahahaaaaaaaaaahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaha (Ur own words). “ZARI THE BOSS LADY”, you ...

Video,Ni kweli Shetta sasa anamiliki gari aina ya Land Rover Discovery.

Image
Msanii wa bongo fleva aliye hit Afrika na rekodi yake ya Kerewa amethibitisha kupitia kipindi cha E News kuwa anamiliki gari aina ya Land Rover Discovery. Gari hili limetajwa kuwa gari la kifahari kwa msanii wa bongo fleva kumiliki sababu lina thamani ya zaidi ya milioni 50 za kitanzania. KELELE ZIMEISHA SASA>>>> JIONE LIVE HAPA        KUJIONE VIDEO NYINGINE ZAIDI BOFYA HAPO CHINI

VIDEO YA Tecno Own The Stage,itazame show iliyofanywa na Mnigeria Falz, aliimba Karishika

Image
Tecno Own The Stage,itazame show iliyofanywa na Mnigeria Falz, aliimba Karishika. Pia tazama baadhi ya wasanii wa Tecno own the stage wakifanya mambo yao.

Umesikia Hii>>>Kajala Masanja Kbadilishha Jina Na Kuitwa Mama Kijacho>>> Adaiwa Kuwa Kunasa Mimba>>>

Image
Good news? Huenda mambo yanaweza yakawa yamejipa kwa mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ kwani kuna taarifa zinadai kuwa mwigizaji huyo amenasa mimba ya kigogo serikalini. Chanzo makini kilicho karibu na staa huyo ambaye ana mtoto mmoja aliyezaa na prodyuza mkongwe Bongo, Paul Matthysse ‘P Funk’ (Paula), kimepenyeza ubuyu huo kuwa Kajala ana mimba ya zaidi ya miezi mitano na amegusiwa kuwa ni ya kigogo serikalini ambaye hataki kumtaja jina. “Hivi hamna habari? Kajala mbona mjamzito. Tena yeye alianza kunasa kabla hata ya Wema, nashangaa mnakomalia kuripoti mimba ya Wema tu, Kay mmemuacha na kigogo wake,” kilimwaga ubuyu chanzo hicho. Baada ya kupewa ubuyu huo, juzi Alhamisi, mwanahabari wetu wakati anaanza kuichimba habari hiyo, alitembelea kwenye ukurasa wa Instangram wa Kajala na kukutana na ujumbe ulionesha dhahiri kuwa mwigizaji huyo anajiandaa kuitwa mama kwa mara nyingine. “Hey IG…do me a favor…help me to choose a name of my new baby coz Pau wants a name with P in...

ALIKIBA AMEAHIDI KUACHIA VIDEO NYINGINE MPYA >>>BAADA YA NAGHARAMIA KUFIKISHA VIEWERS MILIONI MOJA,>> SOMA ZAIDI HAPA>>

Image
Hakuna kitu kizuri kama ukiona kile unachokifanya kinawapendeza wengi, jambo hili hupelekea kuongeza jitihada katika kile unachokifanya ili uendelee kufanya vyema maradufu na pongezi zizidi kuendelea kwa kukurejeshea au kukuongezea heshima yako kwa kile unachokifanya Hivi ndivyo msanii Alikiba anavyofurahia kuona watu wanapenda na kuunga mkono kila anachokifanya, hii inatokana na kazi nzuri aliyofanya na msanii mwenzake Christian Bela inayoitwa Nagharamia ambayo hivi sasa imetimiza viewers Milioni moja kwa muda wa wiki nne tangu kuachiwa kwake. Jambo hilo limempelekea Alikiba kuwaahidi mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa baada ya video hiyo kutimiza viewers Milioni moja anataraji kuachia video yake mpya hivi karibuni,ambapo kwa tetesi zinasema kuwa video ya nyimbo hiyo inaitwa Lupela aliyofanyia nje ya nchi.

LINEX NA MKEWE WALOWA MATUSI KISA SOMA ZAIDI HAPA>>>>>>

Image
KWA MUJIBU WA GAZETI LA FILAMU  LA TAREHE 19/01/2016. LIMERIPOTI MSANII MAARUFU NCHINI TANZANIA LINEX AMEOGA MANENO YA MATUSI YEYE PAMOJA NA MKEWE KISA NDOA FEKI.    KWA HABARI KAMILI  BOFYA HAPA CHIN I   (FOR MORE INFORMATION Click below)