Posts

Showing posts with the label MAHUSIANO

Nimerekodiwa Video ya Ngono Bila Kujijua. Nifanyeje?

Image
    Wadau natumaini mu wazima Mi ni mjasiriamali toka Arusha but huwa nakuja Dar kwa ajili ya kuchukua bidhaa, nikiwa Dar napenda kujibururdisha ama MEEDA au KONA BAA/AMBIANCE AFRIKA SANA huwa nikipata demu wa kupiga nampelekaga Guest/hotel niliyofikia tunafurahia "game" asb namlipa chake anatambaa. Sasa katika kuingia guest kadhaa za hapa Dar nimegundua hawa jamaa wa guest wanaweka SECURITY CAMERAS kuanzia kwenye parking, kwenye korido, karibu na milango, vyumbani hadi bafuni. Je, ni haki kuweka security camera hadi vyumbani/bafuni?     Jana nikiwa kwenye foleni Magomeni Mapipa dogo mmoja akaja na DVD kibao za dini, chini yake ameweka DVD ya X ina picha ya WEMA nikainunua ile kufika hotelini nikaweka kwenye laptop najiona mimi na demu niliyemchukua wk 2 zilizopita.     Hakika nilichoka, sijui cha kufanya nishaurini wadau.

Kuzingatia Ili Kuwa Na Maisha Yenye Furaha Na Mafanikio Makubwa

Image
Kuzingatia Ili Kuwa Na Maisha Yenye Furaha Na Mafanikio Makubwa Karibu katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza vitu ambavyo kila mtu anapaswa kuwa navyo ili kufikia mafanikio yake katika maisha ya kila siku. Ni vitu vya kawaida tu lakini vina nguvu kubwa sana kwa binadamu ni vitu ambavyo vinachochea mafanikio na kama unataka kufika katika kilele cha mafanikio katika safari yako hivi vitu ni kama nishati ya mafuta ambayo yanafanya gari lako liweze kutembea. Kama tunavyojua gari haliwezi kutembea bila ya kuwa na nishati vivyo hivyo kwa binadamu anahitaji kuwa na vitu hivi kama nishati yake katika safari ya mafanikio. Pengine unaweza kujiuliza vitu hivyo nini? Vitu ambavyo kila mtu anatakiwa kuwa navyo katika maisha yake katika kufikia safari ya mafanikio ni kama ifuatavyo; 1. Upendo ;  Maisha yako yakikosa upendo naweza kusema unaishi maisha ya ubinafsi, maisha ya chuki, upendo ukikosekana sehemu yoyote matokeo yake ni chuki na chuki huzaa mauti. Angalia ...

Mambo Matatu ya Kukumbuka Unapokuwa Katika Wakati Mgumu Na Malengo Yako au Ndoto Zako

Image
Mambo Matatu ya Kukumbuka Unapokuwa Katika Wakati Mgumu Na Malengo Yako au Ndoto Zako  Shikilia Malengo Yako Wengi wanaishi na malengo yao akilini, kila mtu anaweza akawa na malengo yake. Sio kila mtu ana malengo lakini kuna ambao wana malengo tayari ya baadaye. Mfano Ndoto zako na Malengo yako kuhusu wakati ujao, maisha utakayoyaishi, watu unaopenda kushirikiana nao, mazingira ya baadaye, kazi yako itakayokuwa ya muhimu, kipato unachokadiria, familia itakavyokuwa au pia mbali na kuweka malengo ya mbali unaweza ukawa na malengo ya karibuni mfano kufaulu somo fulani, kupona ugonjwa fulani, au kutimiza lengo fulani kwa nia ya kusonga mbele zaidi kimaisha. Lakini japokuwa unakuwa na malengo kuna hali zinazoweza kupelekea kuona malengo yako yanaenda taratibu, au malengo yako unaona hayatimii kwa wakati unaoutaka. Pale unapoona umefikia hali ambayo akili yako inajikuta inachukuliwa na upepo wa mawazo hasi (negative thoughts and emotions) kama vile hofu, kukata...

Unaposhikilia Mahusiano Yanayokuumiza

Image
Unaposhikilia Mahusiano Yanayokuumiza Kuna msemo unaosema mahusiano yaliyoharibika ni kama kioo kilichovunjika, kuna wakati inakubidi uache vipande chini kuliko kuviokota na vikakuumiza zaidi. Kila mtu anapenda kupenda na kupendwa. Na ndio maana inauma sana pale unapoumizwa au unapopenda ambapo unaona unadanganywa. Kwani kila mwanadamu anayependa anategemea kupata upendo kama alioutoa. Kuna wakati mahusiano yanakuwa ni magumu na yenye kukuumiza sana, mfano mwenza wako anaweza akawa anafanya kinyume na unavyopenda au anaenda kinyume na makubaliano yenu. Makubaliano kama yapi? Kukujali, kukupenda, kukuthamini, kukusikiliza na kuwepo pale unapomhitaji/anapohitajika na pia kutosalitiana. Hivi vinapokiukwa hupelekea mahusiano kuwa magumu na yenye kukuumiza kwani hivi ni SUMU ya mahusiano yoyote. Ni vyema kukaa na kutafakari tatizo lilipoa, kama kuna njia ya kuweza kulimaliza itumie njia hiyo na hakikisha unajitahidi kumaliza tatizo. Inauma sana pale unaposhindwa kus...

JE KUNA UMUHIMU WA KUACHANA NA KURUDIANA?>>>>

Image
JUMATANO nyingine, tunakutana kwenye uwanja wetu wa kujidai. Mimi na wewe tunakutana kuweza kupeana masuala mbalimbali ya uhusiano. Kwa tuliokuwa pamoja wiki iliyopita tulijifunza kuhusu umuhimu wa watu kujitambua. Kwamba ukiona unapendwa basi huna sababu ya kutikisa kiberiti kwa kuanza kuleta pozi. Haisaidii. Sanasana inaweza kusababisha maafa katika penzi lenu. Unayemtikisa naye ni binadamu. Anahitaji faraja kama ile anayokupa. Ipo siku atachoka. Atashindwa kuvumilia pozi zako. Ataamua kuachana na wewe. Ataona ni bora akae pembeni maana anachokitegemea ni upendo wa dhati, haupati. Badala yake anaambulia maumivu kutoka kwako, anaamua kukuacha. Utajuta. Tukirudi kwenye mada ya leo. Ni vyema tukajifunza umuhimu wa kuachana, kurudiana. Mnapokuwa kwenye uhusiano, kila mmoja wenu huwa anatamani urafiki huo udumu milele. Kutokana na maisha yetu ya kila siku kugombana kupo. Watu mnatofautiana tabia. Wakati mw...

» Afya Yetu » Picha » WALE WAPENDA CHIPS/KIEPE SOMA HAPA MADHARA YAKE!

Image
WALE WAPENDA CHIPS/KIEPE SOMA HAPA MADHARA YAKE! Kama moja ya njia ya kupunguza gharama za matumizi, watu wengi wanatumia mafuta yaleyale zaidi ya mara moja kukaangia vyakula mbalimbali. Jambo hili linafanywa sehemu mbalimbali kama vile nyumbani, migahawani, hotelini, shuleni na zaidi mitaani kwa wakaanga shipsi, mihogo, mandazi, samaki na kitimoto. Watu wanaotumia mafuta zaidi ya mara moja inawezekana wanafuata mazoea na kijamii lakini kwa kujua ama kutojua hatari za hulka hiyo kiafya. Mtu anavyotumia mafuta zaidi ya mara moja, ubora wa mafuta hayo unapungua. Mafuta yenye ubora mdogo yakitumika kukaangia vyakula yananyonywa mengi katika vyakula. Mtu akila vyakula hivyo atapata uzito kupita kiasi, lehemu kwa wingi na shinikizo la damu.  Vitu ambavyo vyote vinachochea ugonjwa wa kisukari na magonjwa ya moyo. Zaidi ya hayo, mafuta yaliyotumika kukaangia vyakula huwa yana mabaki ya vyakula. Mafuta hayo yakipoa vijidudu vya bakteria...

Afya Yetu » MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUWA MJAMZITO

Image
 MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUWA MJAMZITO Ujauzito ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi kwa mama na mtoto. Tusichukulie suala la ujauzito kama jambo la kawaida ingawa pia ni wajibu kwa mwanamke. Ujauzito siyo hali ya hatari au kutisha endapo mambo ya msingi yatazingatiwa kabla ya kuwa mjamzito na kipindi cha ujauzito hadi baada kujifungua. Katika kipindi cha ujauzito kuna mambo mengi ambayo ni mabadiliko humtokea mama na mtoto aliye tumboni. Katika makala haya tutazungumzia mambo ya kuzingatia kabla ya kuamua kubeba mimba, siyo kila mwanamke anaweza kubeba mimba kwa sababu wengine huwa na matatizo katika mfumo wao wa uzazi, aidha homoni zao hazifanyi kazi vizuri na mayai hayazalishwi au hayapevuki. Huenda pia mirija ya uzazi imeziba au ana matatizo ndani ya kizazi. NINI CHA KUFANYA? Ni vyema upange sasa unataka kuwa mjamzito au mwezi fulani unataka kushika mimba, uwe na...

Afya Yetu » KUVURUGIKA KWA MZUNGUKO WA HEDHI

Image
KUVURUGIKA KWA MZUNGUKO WA HEDHI   Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi humpata mwanamke yeyote aliye katika umri wa kuzaa. Tatizo hili huanza ghafla au taratibu ambapo awali mwanamke alikuwa anapata siku zake katika utaratibu unaoeleweka lakini mama haelewi au hajielewi jinsi mzunguko wake unavyoenda. Tunaposema mzunguko unavurugika ni kwamba tarehe maalumu hazieleweki kwa hiyo mwanamke anashindwa kutimiza malengo yake kwa kutumia mzunguko huo. Unaweza kujikuta unapata hedhi ghafla mahali usipotarajia hivyo unabaki na wasiwasi hujui la kufanya kwa kuwa hukujiandaa. Vilevile inaweza kutokea ukapoteza kabisa siku zako, mfano endapo ulitarajia tarehe fulani uingie, mara hakuna dalili na wala huingii. Malengo katika mzunguko wa hedhi au faida za kuufahamu mzunguko huo ni kwamba; kwanza utakusaidia kuepuka kupata mimba usiyoipangilia, pili utakusaidia kupata mimba uliyoipangilia na tatu utaweza kupanga upate mtoto gani kama...

Afya Yetu »JE UNAUJUA MIMEA INAYOSAIDIA KUONDOA TATIZO LA HEDHI NDOGO KUPITA KIASI

Image
MIMEA INAYOSAIDIA KUONDOA TATIZO LA HEDHI NDOGO KUPITA KIASI Leo tutazungumzia ni mimea gani ambayo inaweza kumsaidia mwanamke hapohapo nyumbani kuweza kuondoa matatizo ya hedhi na kuondokana na adha za hapa na pale ambazo zinaweza kumsumbua kwa muda mrefu hata kumhangaisha sana katika harakati yake na mume wake kwenye kuijenga familia yake. Hivyo basi tutaangalia tatizo hili la hedhi ndogo kupita kiasi likoje kitaalamu na baadaye tutaangalia ni jinsi gani tunaweza kuliondoa kwa kutumia mimea ya kawaida hapo nyumbani. Kwa kawaida mwanamke anaingia hedhi kwa siku zisizozidi saba na hedhi yake ikawa ya kawaida na yenye mtiririko unaoeleweka, lakini hedhi ikitoka kidogo sana kwa mwanamke na ikawa inatoka leo, anakaa siku moja inatoka kidogo tena, na baadaye inakata ujue ni tatizo na kama mwanamke anatokewa na hali kama hii na anaona ni jambo la kawaida basi kuanzia sasa ajue kuwa hili ni tatizo na kama halitatibiwa kwa haraka linaweza kusababisha mwanamke akapatwa na Amenorrh...

MAHUSIANO » Picha » MBINU 5 ZA KUJIFUNZA MAPENZI ILI USIACHIKE, USISALITIWE!>>>>> SOMA ZAIDI HAPA

Image
MBINU 5 ZA KUJIFUNZA MAPENZI ILI USIACHIKE, USISALITIWE! Nilishawahi kusema huko nyuma kwamba, mapenzi yanachukuwa sehemu kubwa sana ya maisha yetu ya kila siku. Tunafanya kazi usiku na mchana lakini pesa tunazopata tunazitumia kwenye kufurahia maisha na wapenzi wetu.Ndiyo maana ukiwa hauko sawa kimapenzi, namaanisha ukiwa huna mpenzi wakati unahitaji kuwa naye au unaye lakini anakukorofisha, hata mambo mengine huwezi kuyafanya kwa ufasaha.   Lakini yule ambaye maisha yake ya kimapenzi yako sawa, anapata anachokitaka kutoka kwa mpenzi wake, utagundua anafanya kazi kwa ufanisi mkubwa na furaha haikauki. Wakati ukweli ukiwa hivyo, wapo ambao wanaachika kila siku kwa sababu ya kushindwa kujua namna ya kuwashika wapenzi wao. Kuna ambao kusalitiwa kumekuwa ni sehemu ya maisha yao kwa sababu hawajui yapi wayafanye ili wapenzi wao wasifikirie kutoka nje ya uhusiano wao. Kimsingi nimegundua wengi hatuna elimu ya kutosha juu ya ma...

»YATAMBUE MAMBO YANAYOVUNJA MAHUSIANO YA KIMAPENZI AU NDOA.>>>> SOMA ZAIDI HAPA

Image
  MAMBO YANAYOVUNJA MAHUSIANO YA KIMAPENZI AU NDOA   1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako. 2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako. 3. Ubishi usiokuwa na maana. 4. Kupenda kujihesabia haki. 5. Kutokubali makosa. 6. Kutokuwa na roho ya msamaha. 7. Kutokuwa muwazi kwa mwenzi wako. 8. Usaliti wa mapenzi. 9. Kuigiza kupenda. 10. Kutomheshimu mwenzi wako. 11. Kuwa mjuaji kila kitu unajifanya unajua. 12. Kutokutambua uthamani wa mwenzi wako katika maisha yako. 13. Kuwa na jeuri. 14. Kutokuwa na kifua cha kuficha mambo ya nyumbani. [chumbani] 15. Kuto kujali watu wa nyumbani kwako [ndugu,watoto n.k] 16. Kujiamulia kufanya vitu bila ushauri wa pamoja. 17. Kutokuwa na faraja na mwenzi wako [kutokujua jinsi ya kumfariji mwenzi wako] 18. Kutomridhisha mwenzi wako kimapenzi. 19. Kuwa na amri kwa mwenzi wako hata kwa mambo yasiyokuwa na maana au malengo katika maisha yenu. 20. Ugomvi wa muda mrefu usiokuwa na suluhu. 21. Kuwa na ahadi za uongo. 22. Kumdhalili...

VIMINI Vya Zuwa Balaaa KOANI MWANZA>>>>Wanawake Wavaa VIMINI Wacharazwa Bakora Hadharani Wilayani Sengerema, Mwanza

Image
Viongozi wa Kitongoji cha Kasalazi, kilichoko katika Kijiji cha Kanyara, Kata ya Bulyaheke, wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza, wanadaiwa kuwachapa fimbo hadharani wanawake wanaovaa nguo fupi zinazoonyesha baadhi ya sehemu zao za siri. Pia, viongozi hao wanadaiwa kuwatoza faini ya Sh 20, 000 wanawake wanaokutwa na nguo hizo kama njia ya kuwafanya wasiendelee kuvaa nguo hizo. Mmoja wa wasichana waliowahi kuchapwa na viongozi hao aliyejitambulisha kwa jina la Juliana Mafuru, alichapwa fimbo baada ya kufika kijijini hapo kwa lengo la kununua dagaa. “Cha kushangaza ni kwamba, baada ya kufika katika kitongoji hicho, mgambo walinikamata na kunichalaza bakora mbele za watu nje ya boti niliyokuwa nimepanda. “Pia waliamuru nivue suruali niliyokuwa nimeivaa na kuanza kuichana chana nyembe. “Wakati wananifanyia hivyo, walitokea wasamalia wema ambao walinipatia shuka la kimasai ili niweze kujisitili, yaani waliniabisha kweli. “Baadaye, walinipeleka kwenye ofisi ya kitongiji hicho na ...

JINSI YA KUJITIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME-2-3

Image
Wiki iliyopita tuliianza mada hii ya kujitibu nguvu za kiume ambapo tuliweza kufahamu mfumo wa uzazi wa mwanaume, tuendelee kujifunza somo hili. Kuna viungo vya ndani, kiungo kkimoja inaitwa seminal vessel, seminal vessel ni kama tezi mbili ambazo kazi yake ni kuzalisha majimaji yanayokwenda kuungana na majimaji yanayozalishwa kwenye protest grand ambayo yanaitwa semen ambazo kazi yake ni kuzibeba mbegu za uzazi za mwanaume ambazo kitaalamu zinaitwa sperm. Pia kuna kiungo kingine kinaitwa prostate grand, hii ni tezi ya prostate na watu wengine wanaiita tezi dume au tezi ya mwanaume. Tezi hii ipo karibu kabisa na kibofu cha mkojo, kwani nyuma ya tezi hii imeungana na kibofu cha mkojo, prostate grand kazi yake ni kuzalisha seminal fluid ambazo huungana na majimaji yanayozalishwa kwenye seminal vessel kwa ajili ya kutengeneza semen. Kuna kiungo kingine kinaitwa capas grand hizi ni kama mbegu mbili ambazo hukaa pamoja, nazo huzalisha majimaji mengine ambayo huwa yanaingia kwen...

JE,UKE WAKO UNATOA HARUFU MBAYA..? JINSI YA KUMALIZA TATIZO LAKO.. Soma Hapa Zaidi

Image
Tatizo la uke kutoa harufu mbaya ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi. Wanaume wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa na inakera kupeana Raha na Utamu na Mwanamke ambae sehemu zake za siri zinanuka.Inawatoa out of the mood,mwisho wake wanaconcetrate kudo fasta,wamalize hamu zao kila mtu aondoke. Wapo baadhi ya wanawake wanajijua wanasumbuliwa na hili tatizo lakini cha kushangaza hawana muda wa kutafuta solutions za kumaliza tatizo lao(wanaishia kuchekwa kuwa vituko vya mtaa bila kujijua bcoz hawajui kuwa matatizo yao ya uke kutoa harufu mbaya,yanasimuliwa na wale wanaume ambao washawahi kulala nao wakiwa wanapiga story na marafiki zao maskani mtaani). lakini wapo wanawake wachache wenye busara,ambao wanajijua wanasumbuliwa na hili tatizo na wangependa kujua sababu na jinsi ya kulimaliza,na hao ndio wamenifanya mie niandike hii post Nitaanza kuelezea sababu kisha nitaelezea ni jinsi gani unaweza kumaliza tatizo lako. Sababu zinazosababisha uke kutoa harufu mbay...