Posts

Showing posts with the label UDAKU

Wadada Badilikeni Tabia ya Kuomba omba Kwa Wanaume si Nzuri inatuzalilisha

Image
Wadada tubadilike jamani kuomba omba sana utazoeleka hata siku ukipata shida ya serious mtu atashindwa kukusaidia Sababu ni kawaida yako, Hii tabia ndio inafanya mnamegwa ovyo ovyo Wengine sasa sio hata kwa boyfriend tuu yaani yeye asikuzoee kidogo tu kosa kesho yake ataomba hela. Ombaomba siku hizi hawapo barabarani tu hata Kwenye simu zetu hasa kupitia Whats app wanasumua kinoma... Hii ni tabia mbaya jamani tubadilikeni hata siku ikitokea umeomba hela mtu anashangaa anajua kweli umebanwa sababu sio kawaida yako. ANDIKA MAONI YAKO HAPA CHINI

Kenyan News » Kenyan Guy Narrates The Trick a Desperate Single Mother Used to Seduce Him To S£X (PICTURED)

Image
Kenyan Guy Narrates The Trick a Desperate Single Mother Used to Seduce Him To S£X (PICTURED) A Kenyan guy has narrated how he visited a desperate single mother, who happens to be his side-dish, and the trick she used to lure him to s3x. This is what he had to say;

Unlabelled » MWANADADA CECILE CHIKITTA KUTOKA KENYA ATUPIA PICHA ZA UTATA NA MITEGO MTANDAONI

Image
Anyone could have reported her account or facebook sensed an abnormal amount of traffic to this babes account. Apparently, Facebook's policies do not allow nude content ( hmm... this is like passing the anti-drugs (Marijuana) Bill into Law in Jamaica ) ... people still defy that policy. A number of Kenyan and Ugandan Celebrities have continuously posted their Nude Photos on Facebook, which have gotten some of their accounts closed.  Huddah Monroe  of Kenya -  Hellen Lukoma  of Uganda ... among others. Back to CECILE CHIKITTA, Her facebook Account is no more ( https://www.facebook.com/cecile.chikitta.7?fref=ts )... She is one of the Perpetrators. But we happened to get her photos before Facebook block the account and here they are:                                        ...

Video: Diamond anashika simu ya Zari? Wamarekani kupost? mauzo Afrika? Mafikizolo je? majibu ninayo hapa

Image
Diamond Platnumz ni mwimbaji wa bongofleva Tanzania, hii Interview aliifanya Exclusive na AyoTV South Africa akiongelea kolabo yake na staa wa Marekani na ishu ya kupost, Mauzo ya nyimbo zake nchi za Afrika, Mafikizolo, kushika simu ya mpenzi wake na mengine, bonyeza play hapa chini kuitazama video yenyewe.

Wema Sepetu » Wema Sepetu Ashtua Watu Aandika Ujumbe Mzito...Adai Siku zake za Kifo Zimekaribia

Image
Baada ya Wema Sepetu Kutoa Misaada kwa Watoto wa Yatima wa Kituo cha Good Hope Orphanage in Usa-River Arusha..Aliandika Maneno haya kwa Uchungu kwenye ukurasa wake wa Instagram: "Kumbuka kwamba kuna kifo... Iko siku utaitwa Marehemu.... Put that in your head... Im thinking my day is soon.... Alhamdulillah for everything tho...." Je Unadhani Kwanini Kaandika Hivyo ?

Aunty Ezekiel na Mose Iyobo wamepata mtoto, Hapa wapo na Soudy Brown…#Uheard

Image
Staa wa Bongo Movie Aunty Ezekiel amejifungua mtoto wake wa kike siku ya jana, leo Soudy Brown  kamtafuta, kapiga naye Stori, pembeni yake alikuwepo Mose Iyobo. Kwenye Maswali ya Soudy kuna haya; Jina la Mtoto, kafanana na nani?.. ndoa je? “Mtoto anaitwa Cookie La Princesa”- Aunty “Napenda akikua atafute fani yake asifuate ya baba wala ya mama” -Aunty Hapa utasikiliza Uheard yote Soudy Brown, Aunty Ezekiel na Mose Iyobo pembeni.

Kijana: Ukipenda Jimama au Mwanamke Mwenye Pesa Uvumilie Vipigo/Kugombezwa Hadharani

Image
Wale vijana wenzangu mnaopenda majimama (kulelewa) mkubali makofi, makonzi sometimes mitama hadharani, pia hata kufokewa hadharani. Maana wengi wa hawa majimama wana stress za kutosha lakini usisahau ndo yanayowaweka baadhi ya vijana mjini kwa kila kitu, la muhimu ukishagombezwa we jidai kujichekesha tu ili mambo yaishe. Pia nawasihi sana baadhi vijana tusiwapende hawa majimama tutafute maisha yetu, tusipende maisha ya bure kwani tunaweza kupata madhara mengi ikiwemo magonjwa UKIMWI na kukosa vijana wa kujenga taifa.

Picha: Huddah Monroe Achefua Tena Watu Mtandaoni, Atupia Picha Akiwa Mtupu Kitandani

Image
Huddah Monroe ameshajikubali kuwa ni ‘good girl gone bad’ na ndio maana haoni tatizo kuweka picha akiwa kitandani kama alivyozaliwa. Mrembo huyo wa Kenya amepost picha kwenye akaunti yake ya Facebook akiwa kitandani huku akiwa amejifunika na shuka sehemu ndogo tu ya mwili wake kuficha sehemu ny*ti. Mashabiki wake hawakusita kumchana.

Mama Wema Sepetu Afurahia Ujauzito wa Zari, Aombea Zari Azidi Kumganda Diamond..Kisa na Mkasa Huu Hapa

Image
Udaku Special Blog: SIKU chache baada ya kuvuja kwa picha zinazomuonesha mpenzi wa sasa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa na kitumbo kinachoashiria kukua kwa ujauzito, mama mzazi wa zilipendwa wa Diamond, Wema Sepetu ‘Madam’, Mariam Sepetu amefunguka kuwa amefurahia tukio hilo. Mzazi huyo ambaye ni fundi wa kuzungumza, alisema tukio hilo limemfurahisha kwani anaamini ndoto za Diamond kurudiana na binti yake zitakuwa zimeyeyuka rasmi kama alivyokuwa akimuomba Mungu siku zote. Kuonesha kwamba amefurahishwa na kitendo hicho, alimtaka Zari aendelee kumpenda Diamond, amgande kila idara ili isije kutokea akarudi kwa binti yake ambaye walimwagana mwishoni mwa mwaka jana. “Yaani kama inawezekana naomba sana huyo Zari azidi kumganda Diamond, asimpe muda wa kugeuka nyuma kabisa ili mambo mengine yaendelee kwa sababu uhusiano wa Diamond na mwanangu haukuwa na baraka zangu,” alisema mama Wema. Mama Sepetu aliongeza kuwa, hana maana ya kumchagulia mchum...

UKWELI HUU HAPA:MWASITI WA THT NA SAM MISAGO NI WAPENZI? MKASA MZIMA UPO HAPA

Image
Mwasiti Almas amezungumzia salamu ya pongezi aliyopewa na Diamond Platnumz juzi kwenye siku yake ya kuzaliwa iliyovumbua uhusiano usiojulikana kati yake na mtangazaji wa Power Jams ya EA Radio, Sam Misago. Katika salamu hizo, Diamond aliandika: Happy Birthday Chitty… muke halali ya @Sammisago.” Hata hivyo Mwasiti amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Misago. “Diamond mbona ameniweza,” Mwasiti ameiambia Bongo5. “Sikushangaa yeye kuniwish lakini nimeshangaa response ya watu. In short mimi sijaolewa. Yule (Misago) sio boyfriend wangu, mimi yule ni rafiki yangu, hakuna kitu chochote kinachoendelea. Sam mimi namjua muda mrefu sana, sijawahi kusema mahusiano yangu yoyote lakini nikiolewa nitasema,” ameongeza. Sam Misago. “Sijui Nasib kayatoa wapi haya mambo. Sam sio mwanaume wa kukupa aibu yupo kama wanaume wengine, yule na mimi naamini ana girlfriend wake na mimi na boyfriend wangu, kwahiyo sielewi Nasibu kwakweli yaani hili suala limeleta mtikisiko. Nimepigiwa na watu w...

Lulu Michael Aamua Kurudi Shule, Adaiwa Kuwafunika Wenzake Kimasomo Chuoni Hapo

Image
Mrembo na mwigizaji wa filamu,  Elizabeth Michael ‘Lulu’ ,  ambae kwa sasa ameamua kupiga kitabu , anadaiwa kuwafunika kimasomo wanafunzi wenzake katika Chuo cha ....... Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kilichopo Magogoni-Posta jijini Dar. Akizungumza hivi karibuni chuoni hapo, mmoja wa wanafunzi wanaosoma na mwigizaji huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema Lulu amekuwa akihudhuria vizuri darasani na kufanya vyema kwenye masomo yake mbalimbali zaidi ya wanafunzi wengi anaosoma nao. “Lulu yupo vizuri sana kimasomo, anawapita hadi wanafunzi wengine. Mahudhurio yake ni mazuri na anafanya mitihani yake na kufaulu. “Anavaa nguo zinazostahili na hapa chuoni kila mwanafunzi anampenda kwa sababu yupo ‘peace’ ile mbaya,” alisema mnyetishaji huyo na kusisitiza kuwa msanii huyo haishi kama supastaa. Kwa kifupi unaweza sema Lulu amekuwa mtamu kama Mcharo!!

Post ya Zari Huko Instagram Yazua Jambo, ni Baada ya Kumtakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa Wifi yake

Image
MPENZI wa staa wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Zarinah Hassan 'The Boss Lady' amemtakia heri ya kuzaliwa wifi yake Esma kupitia akaunti yake ya Instagram huku post yake ikizua jambo kwa mashabiki. Zari ambaye bado yupo Bongo, katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai anatafuta kiki na baadhi wakimtolea maneno ya kuudhi. Usahihi alitakiwa kutumia neno WIFI na siyo SHEMEJI ambalo huwa linatumika kwa mvulana! Esma ni dada wa Diamond ambaye ameolewa na Petiti Man.