Video: Diamond anashika simu ya Zari? Wamarekani kupost? mauzo Afrika? Mafikizolo je? majibu ninayo hapa

Diamond Platnumz ni mwimbaji wa bongofleva Tanzania, hii Interview aliifanya Exclusive na AyoTV South Africa akiongelea kolabo yake na staa wa Marekani na ishu ya kupost, Mauzo ya nyimbo zake nchi za Afrika, Mafikizolo, kushika simu ya mpenzi wake na mengine, bonyeza play hapa chini kuitazama video yenyewe.

Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA PICHA 30 ZA MREMBO AGNES MASOGANGE AKIJIACHIA KISTAA NJE YA NCHI

Gamboshi: Makao Makuu ya Uchawi na Wachawi yaliyopo Shinyanga, Tanzania