Posts

Showing posts with the label SKENDO

Ali Kiba » Alikiba Anahisi Kafanyiwa Mchezo Mchafu Kwenye Tuzo za AFRIMA Baada ya Kukosa Zote Alizokuwa Ametajwa

Image
Muimbaji huyo alikuwa ametajwa kuwania vipengele vinne kwenye tuzo za Afrima zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria. Kiba alitajwa kuwania Best Male Artist East Africa, Artist of The Year, Song of the Year na Song Writer Of The Year In Africa. Tuzo tatu kati ya hizi zimechukuliwa na Diamond waliyekuwa wametajwa pamoja. Kupitia post aliyoweka kwenye Instagram, Alikiba amedai kuwa anaamini ‘kuna watu’ wanaotumia fedha kuhakikisha anakosa tuzo. “ Asanteni sana najua mmepiga kura sana lakini nilikuja kugundua baada ya kufuatilia kuwa kuna mambo yanaendelea ya watu wanadiriki hata kupoteza pesa zao kwaajili yangu ila nawaomba fans msinielewe vibaya I will always be there for you #hapakazitu #kingkiba, ” ameandika Alikiba. Kauli yake imepokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki wa muziki

KAMA HUJAWAHI MSHUHUDIA DIVA AKIWA KWENYE NIGHT DRESS BASI JIONEE HII VIDEO MMMH KALETA MITEGO YA HATARI AKIWA CHUMBANI MBONA ANAWATAKA UBAYA WATUUU TAZAMA HUMU

Image

Johari Akiri Kumpora Kimapenzi Mwigizaji Ray Kutoka kwa Mainda

Image
STAA wa sinema za Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amekiri kwamba wakati anaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na nyota wa fani hiyo, Vincent Kigosi ‘Ray’ alijua yupo na nguli wa filamu, Ruth Suka ‘Mainda’, Johari Amekiri Baada ya kuulizwa na Gazeti moja maarufu ....

Mrembo Huddah Monroe Asema Kazi yake ya Kuwapa Raha Wanaume Inalipa..Aonyesha Kadi ya Range Rover Analomiliki

Image
Mrembo Huddah Monroe Mrembo wa Kenya Huddah Monroe Amejitokeza na kuwaponda wale waandishi wa Habari Bloggers wanaosema gari aina la Range Rover analoendesha kwa sasa ameazima kwa mtu na kusema kuwa kazi anayofanya (Socialite ) ya Kutoa Escort kwa kuwapa raha wanaume na kuhuzuria events mbali mbali inamlipa sana kiasi hawezi azima gari ...Huddah Ameweka Mtandaoni kadi ya gari hiyo ambalo ni la gharama sana kwa mtu wa kawaida ikionyesha jina lake halisi kama mmiliki halali wa Ndinga hiyo matata Kadi ya Gari aina ya Ronger Rover ikionyesha jina halisi la Huddah

Jina Kabula na Mwanamuziki Bushoke Wapigana Kibuti, Kabula Atoa ya Rohoni

Image
MSANII wa filamu Bongo , Miriam Jolwa ‘ Jini Kabula ’ na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu , Ruta Maximilian Bushoke wamemwagana na hakuna cha ndoa tena . Akizungumza Kabula alitoa ya rohoni na kusema kuwa wamefikia hatua hiyo baada ya kuona mwenzake haoneshi msimamo katika mkakati wao wa kuoana hivyo kwa sasa wamebaki kuwa marafiki wa kawaida tu kwa sababu wote ni wasanii. “Tumeshaachana , mwaka huu nimeuanza kwa kuwa bize na mambo yangu mengine ya kikazi siyo mapenzi tena . Tulikuwa tumepanga vizuri kwamba tutaoana na kuamini hivyo kwa kipindi chote alichokuwa nchini Afrika Kusini. ” “Baada ya mwenzangu kutua Bongo , hakuonesha dalili yoyote ya kutekeleza hilo suala la ndoa . Sikuwa na uwezo wa kusema nimfunge kamba ndiyo nimlazimishe kumpeleka kwetu tuoane , nimeona bora niachane naye kwani nimeshachoka na maisha ya uzinifu nahitaji kuingia katika ndoa , ” alisema Kabula . Bushoke alipotafutwa kwenye simu hakupatikana lakini kwa mujibu wa marafiki zake wa karibu wanasema kuwa ames...

DIAMOND, ZARI NDOA YANUKIA! DIAMOND AANZ KUMBADILI KIDINI, AMUONYESHA MALI ZAKE DAR

Image
WAKATI mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ akiwa nchini India kwa matibabu ya tatizo la kiafya linalodaiwa kuwa ni kupooza, hapa Bongo dalili za Diamond na mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady kufunga ndoa zinanukia. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mpenzi wake, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady. Chanzo makini kimeliambia Ijumaa Wikienda kwamba, licha ya mama Diamond kupelekwa India Januari 27, mwaka huu na msafara wa watu wawili, nyuma, Zari alitua Bongo tangu Januari 30, mwaka huu lengo kubwa likiwa kumuuguza mama mkwe wake huyo. ATUA DAR, AENDA SINZA-MORI Chanzo kikazidi kuweka wazi kuwa mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Diamond alimpokea na kwenda naye nyumbani kwake, Sinza-Mori jijini Dar bila kumwambia kama mama yake amepelekwa India kwa matibabu. Mtoto mzuri, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady akielekea kw...