Posts

Showing posts with the label IJUE SHERIA

IJUE SHERIA>>Usinyanyaswe na Polisi..Fanya Haya Uwapo Mikononi Mwa Polisi....Imeandaliwa na Mawakili

Image
1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako. 2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na mahakama kukukamata, ni haki yako. 3. Askari akikukamata akwambie kwanini anakukamata na anakupeleka kituo gani, ni haki yako. 4. Unaruhusiwa na sheria kukataa kukamatwa hata kutumia nguvu kama hukuambiwa sababu ya kukamatwa. 5. Askari anapokiuka taratibu za ukamataji anageuka na kuwa mhalifu ni haki yako kujikinga naye. 6. Askari haruhusiwi kukuvuta shati, kukukaba koo, kukushika suruali kama hujakataa kutii amri halali. 7. Askari haruhusiwi kuondoka na mtu mwingine baada ya kumkosa mtuhumiwa halisi. 8. Askari haruhusiwi kupekua nyumba ya mtu bila kibali cha kupekua. 9. Askari lazima akuoneshe kibali cha kupekua na ukisome. 10. Kibali kieleze jina la aliyekitoa, kituo kilipotolewa,jina la mtu au sehemu ya upekuzi, au uchanganuzi wa mtu au sehemu. 11. Hairuhusiwi kupekuliwa usiku kuanzia saa 1 jioni m...