Posts

Showing posts with the label VIDEO

[Official Video] HD MC Galaxy | Hello Watch/Download

Image
                                                                            NI MPYA KABISA KUWA WA KWANZA KUITIZAMA HAPAA

[Official Video] Christina Milian - Like Me (ft. Snoop Dogg) Watch&Download

Image

(Official Video) Emtee - Roll Up (ReUp) Ft WIZKID & AKA Watch&Download

Image

(Official Video) HD Kleyah - ft. Barnaba Msobe Msobe Watch&Download

Image

Video: Dullayo | Mazoea Watch&Download

Image

Fefe - Make Sense Official Video Watch & Download

Image

Official Video HD Kassim Mganga Feat. Christian Bella | Subira | Watch&Download

Image

Mavins - JantaManta (Official Video ) Watch & Download

Image

Official Music Video D'Prince ft. Phyno - Tarity Watch&Download

Image

Don Jazzy na watu wake wa Mavins wamejikusanya kuileta mpya yao >> ‘JantaJanta’- Video

Image
Don Jazzy alianza safari ya muziki akiwa na D’Banj miaka mingi iliyopita, wakaibeba vizuri bendera ya Nigeria na kuifanya Dunia ikajua nguvu ya Nigeria kwenye muziki… lakini wakaona kuna umuhimu kuwabeba na wengine nao watambulike duniani kupitia muziki. Hiyo ilifanya milango kufunguka kwa mastaa wengine kibao ikiwemo akina Tiwa Savage , Dr SID , D’Prince , Reekado Banks , Korede Bello   na mrembo  Di’Ja . Usipitwe na kitu kipya kutoka crew nzima ya Supreme  Mavin  Dynasty ikiongozwa na Don Jazzy mwenyewe… wimbo unaitwa ‘ JantaJanta ‘, utaweza kuhit na kugusa level za Dorrobucci ?

VIDEO: Skales – Mu Jo (B-T-S) WATCH & DOWNLOAD

Image

(Official Video) Ogede Ft Wizkid & Timaya Watch&Download

Image

(Official Music Video) | Favolii-Bam Bam Watch&Download

Image

Official VIDEO | Iringa Boy ft Chibow & Mr T - Wakunyumba WATCH&DOWNLOAD

Image

Kitu kipya cha Jamie Foxx, ‘In Love By Now’ kipo hewani tayari na video yake imenifikia! – (Video).

Image
Staa wa movie Hollywood, Marekani na msanii wa R&B, Jamie Foxx anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani na ujio wa single mpya inayopatikana kwenye latest Album yake, Hollywood: A Story of a Dozen Roses. Wimbo unaitwa ‘In Love By Now’ na official music video yake ipo hewani tayari… video queen wa single hii ni Nicole Scherzinger mmoja ya wasanii waliokuwa wanaunda kundi la muziki la Pussycat Dolls, Marekani … Nicole ambaye amecheza kama mke mtarajiwa wa Jamie Foxx anafanya maamuzi ya kumuacha Foxx katikati ya umati wa watu kanisani, licha ya Jamie Foxx kujaribu kumuwahi jitihada zake zinakwama njiani. Unaweza ukacheki muendelezo wa stori nzima kati ya wawili hao kwenye video hii ya dakika nne hapa chini.

(Official Video) Puff Daddy & The Family - Workin ft. Travis Scott, Big Sean (Remix) Watch&Download

Image
Baada ya kuachia album yake ya MMM mwanzoni wa mwezi huu, Mkurugenzi wa lebo ya Bad Boy Entertainment, P Diddy anaisogeza kwetu remix ya Workin. Hii ni moja ya single zinazopatikana kwenye Album mpya ya msanii huyo. Kama wewe ni shabiki wa Travis Scott na Big Sean basi utapenda kukutana na video hii iliyotaarishwa na Hype Williams … Travis Scott na Big Sean pia wataungana na Rihanna kwenye tour yake ya ANTI World Tour , March 2016. Lakini kama bado hujafanikiwa kukutana na remix ya wimbo huu, basi feel free kuicheki hapa chini kwenye hii video ya dakika 4 mtu wangu.

New Teknomiles - Duro [Official Video] Watch%Download

Image

Ty Dolla $ign - Saved ft. E-40 [Music Video] WATCH&DOWNLOAD

Image

New BEKA IBROZAMA - COME BACK (OFFICIAL VIDEO) listen&download

Image

Official Video Rucky Beby - Give Me Some More Watch&Download

Image