(Official Video) Puff Daddy & The Family - Workin ft. Travis Scott, Big Sean (Remix) Watch&Download

Baada ya kuachia album yake ya MMM mwanzoni wa mwezi huu, Mkurugenzi wa lebo ya Bad Boy Entertainment, P Diddy anaisogeza kwetu remix ya Workin. Hii ni moja ya single zinazopatikana kwenye Album mpya ya msanii huyo.
Kama wewe ni shabiki wa Travis Scott na Big Sean basi utapenda kukutana na video hii iliyotaarishwa na Hype Williams Travis Scott na Big Sean pia wataungana na Rihanna kwenye tour yake ya ANTI World Tour, March 2016.
woork3
Lakini kama bado hujafanikiwa kukutana na remix ya wimbo huu, basi feel free kuicheki hapa chini kwenye hii video ya dakika 4 mtu wangu.

Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA PICHA 30 ZA MREMBO AGNES MASOGANGE AKIJIACHIA KISTAA NJE YA NCHI

Gamboshi: Makao Makuu ya Uchawi na Wachawi yaliyopo Shinyanga, Tanzania

14 parties want Parliament to discuss Zanzibar impasse