Kitu kipya cha Jamie Foxx, ‘In Love By Now’ kipo hewani tayari na video yake imenifikia! – (Video).

Staa wa movie Hollywood, Marekani na msanii wa R&B, Jamie Foxx anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani na ujio wa single mpya inayopatikana kwenye latest Album yake, Hollywood: A Story of a Dozen Roses.
Wimbo unaitwa ‘In Love By Now’ na official music video yake ipo hewani tayari… video queen wa single hii ni Nicole Scherzinger mmoja ya wasanii waliokuwa wanaunda kundi la muziki la Pussycat Dolls, MarekaniNicole ambaye amecheza kama mke mtarajiwa wa Jamie Foxx anafanya maamuzi ya kumuacha Foxx katikati ya umati wa watu kanisani, licha ya Jamie Foxx kujaribu kumuwahi jitihada zake zinakwama njiani.
JAMIE3
Unaweza ukacheki muendelezo wa stori nzima kati ya wawili hao kwenye video hii ya dakika nne hapa chini.

Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA PICHA 30 ZA MREMBO AGNES MASOGANGE AKIJIACHIA KISTAA NJE YA NCHI

Gamboshi: Makao Makuu ya Uchawi na Wachawi yaliyopo Shinyanga, Tanzania

14 parties want Parliament to discuss Zanzibar impasse