Aunty Ezekiel na Mose Iyobo wamepata mtoto, Hapa wapo na Soudy Brown…#Uheard
Staa wa Bongo Movie Aunty Ezekiel amejifungua mtoto wake wa kike siku ya jana, leo Soudy Brown kamtafuta, kapiga naye Stori, pembeni yake alikuwepo Mose Iyobo.
Kwenye Maswali ya Soudy kuna haya; Jina la Mtoto, kafanana na nani?.. ndoa je?
“Mtoto anaitwa Cookie La Princesa”-Aunty
“Napenda akikua atafute fani yake asifuate ya baba wala ya mama”-Aunty
Hapa utasikiliza Uheard yote Soudy Brown, Aunty Ezekiel na Mose Iyobo pembeni.
Comments
Post a Comment