ALI KIBA Adai Hajui Kutongoza na Hajawahi Tongoza Mwanamke..Wote Aliowapitia Wamejileta Wenyewe

Mwanamuziki machachari wa Bongo Flava Ali Kiba Amefunguka kwenye kipindi cha Sporah Show kuwa toka ajue kitu mapenzi hajawahi tongoza msichana na hajui kutongoza..Amedai wanawake wote ambao amewahi kuwa nao kimapenzi hakuwatongoza bali ilianza tu kama ushikaji na mwisho kujikuta wameshakuwa wapenzi bila kujua....
Kwa sasa Ali Kiba anatoka na Mrembo Jokate...Kumbe na Hakutongozwa eehh!
                             
                                
                                              ANDIKA MAONI YAKO HAPA CHINI

Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA PICHA 30 ZA MREMBO AGNES MASOGANGE AKIJIACHIA KISTAA NJE YA NCHI

Gamboshi: Makao Makuu ya Uchawi na Wachawi yaliyopo Shinyanga, Tanzania

14 parties want Parliament to discuss Zanzibar impasse