Je ni Kweli Jacqueline Woper Amekihama Chama cha Chadema na Hataki Tena Kuitwa Mtoto wa Lowassa! Ukweli Ndio Huu

JACK WOLPER
Staa mrembo wa Bongo Movies, Jacqueline Woper ambaye alikuwa msatari wa mbele kumpigia kampeni aliekuwa mgombe urasi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye uchaguzi wa mwaka jana, Mh. Edward Lowassa amekanusha habari iliyoripotiwa na moja ya magazeti ‘pendwa’ kuwa kwa sasa staa huyo ameshajitoa CHADEMA na hataki tena kuitwa mtoto wa Lowassa ‘Jacqueline Lowassa’ kama alivyo jiita kipindi kile cha kampeni.
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Wolper aliweka picha ya gareti hilo na kuandika haya.


Hapana labda wolper feki me nichadema paka kesho kutwa namtondogoo. …pipooooooozi ��✌✌✌✌✌✌#namagazeti nyumbani kwakukuza habari simnajuagaa. Utasikia tafarani eti jacq chadema ameimwaga���� #broo kweli uliimba

Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA PICHA 30 ZA MREMBO AGNES MASOGANGE AKIJIACHIA KISTAA NJE YA NCHI

Gamboshi: Makao Makuu ya Uchawi na Wachawi yaliyopo Shinyanga, Tanzania

14 parties want Parliament to discuss Zanzibar impasse