HII NDIO SILAHA ALIYOITUMIA ALIKIBA KUMNASA JOKATE

Mahusiano yanasiri kubwa na kila mmoja anajua jinsi gani alivyoingia katika mahusiano ya kimapenzi, kwa upande wake Ben Paul Hit Maker wa Ningefanyaje aliwahi kufall In Love na msichana ambaye hakumtaja jina katika mazingira ambayo hakuyategemea ila ukaribu ndio uliwapelekea kuwa pamoja, mpaka akamua kuachia wimbo huo wa Ninefanyaje.ben

Hivi ndivo msanii mwenye sauti nyororo nchini Alikba ambaye inasemekana anatoka kimapenzi na mwanadada nyota kwenye masuala ya mitindo, muziki na filamu maarufu kama Jokate walivyo ingia kwenye penzi zito, baada yakuwa marafiki.11273013_959166344149458_341636304_n1

Akizungumza katika moja ya mahojiana yake Alikiba ameeleza kuwa hajawahi kutongoza mwanamke, hujikuta tu wanaingia kwenye mahusiano baada ya kujenga urafiki“Haya mambo ya kutongoza mimi sijatongozaga,” alisema . “Mimi nakwambia maisha yangu yote sijawahi kutongoza. Tunakuwa friendly hivyo vitu vinatokea halafu basi, tayari

Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA PICHA 30 ZA MREMBO AGNES MASOGANGE AKIJIACHIA KISTAA NJE YA NCHI

Gamboshi: Makao Makuu ya Uchawi na Wachawi yaliyopo Shinyanga, Tanzania

14 parties want Parliament to discuss Zanzibar impasse