Duniani imeletwa na hii ‘selfie spoon’… kwenye meza ya chakula wewe na selfie zako tu (+Video)
‘Kanga fotooo’..!! Sijui kama nimepatia sana hapo, hicho ni kionjo cha ngoma ambayo imemrudisha mkongwe Antoine Christophe Agbepa Mumba au jina lenye uzito wake ni Koffi Olomide kwenye headlines za muziki wa Congo !!
Umaarufu wa ngoma ya ‘Selfie‘ kwanza umeanza kubebwa na jina la wimbo wenyewe… wapenzi wa pichaz za ‘Selfie’ walirahisishiwa kutoa selfie kali zaidi kwenye ubora wake kwa kutumia ‘Selfie stick’.. unaambiwa sasahivi ukae tayari kuipokea ‘selfie spoon’… ni kwamba kijiko kinakupa na selfie hapohapo.
Kama utapenda kushare selfie zako na watu wako wakati wa mlo basi hii itakufaa sana, unaweza kucheki kwenye video selfie spoon inavyofanya kazi mtu wangu.
Comments
Post a Comment