Kutoka Iringa imenifikia hii inayohusu Pipi za Ivori.

Kwenye zile ambazo zimenifikia leo mtu wangu ni pamoja  hii kutoka Kampuni ya Ivori-Iringa ambayo wamechukua time hii kuwatahadharisha Wateja wake wakiwemo Wasambazaji na Wauzaji wa Maduka ya Jumla na Reja reja,kuwa kumekuwepo na Matapeli katika baadhi ya mikoa Nchini,Wakiuza bidhaa Feki kwa kutumia jina la pipi za Ivori kwa madai ya muonekano mpya wa bidhaa zao.
MWISHO(1)Taarifa ikufikie kuwa Kampuni ya Ivori Iringa haijaubadilisha muonekano wa pipi zake wala Nembo yake,Hakikisha kila pipi unayonunua  ina nembo halisi ya Ivori kutoka Iringa na kusisitiza kwa yeyote atakaenunua na Kutumia bidhaa  zinazofananishwa na Pipi za Ivori Iringa na kudhurika kiafya,basi kampuni ya Ivori Iringa haitahusika na malalamiko yoyote.

Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA PICHA 30 ZA MREMBO AGNES MASOGANGE AKIJIACHIA KISTAA NJE YA NCHI

Gamboshi: Makao Makuu ya Uchawi na Wachawi yaliyopo Shinyanga, Tanzania

14 parties want Parliament to discuss Zanzibar impasse