#BREAKING: Wanafunzi wengine watatu wamepoteza maisha leo Geita
Nimeipata
hii taarifa kutoka mkoani Geita ikieleza kumetokea ajali ya Mtumbwi
ambao ulibeba wanafunzi wa shule ya Ludegea ambapo wanafunzi watatu
wamepoteza maisha baada ya kuzama na wengine 21 wamenusurika.
Imeelezwa kuwa wanafunzi hao walikuwa njiani kuelekea shuleni wakati ajali ya kuzama mtumbwi huo ilipotokea.
Comments
Post a Comment