Npe Amemjibu Makonda, Picha Limeanza Upyaaa
Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhojiwa na kituo cha
Star Tv kuhusu mambo kadha wa kadha likiwemo suala la uvamizi wa Clouds
Media na kusema Hakupaswa kumuingilia kwakuwa wote ni watumishi... Basi
Nape amemjibu hivi...
"Niliunda Kamati Kuchunguza TUKIO LA KUVAMIWA KITUO CHA UTANGAZAJI
sio kumchunguza RC.Kama RC alikuwa mmoja wa wavamizi, HAYUKO JUU YA
SHERIA!"
Comments
Post a Comment