Posts

Showing posts from January, 2016

MPs, local authorities ordered to submit list of land conflicts

Image
Minister for Lands, Housing and Human Settlement Development,  William Lukuvi. All Members of Parliament have been tasked to submit a list of land conflicts in their various constituencies to the Minister for Lands, Housing and Human Settlement Development, William Lukuvi.   The minister has also instructed local government authorities to do the same ahead of his set up of a special team of experts to scrutinize the nature of the conflicts and come up with a lasting solution.   Speaking yesterday in parliament, the minister agreed that there are several land conflicts in the country especially pertaining villages that border forest and game reserves. Similarly, conflicts between farmers and pastoralists that have been recurring and claim lives of many innocent people.    “The new government is determined to end land conflicts once and for all after getting a full list of the trouble areas across the country” said Lukuv...

Probe into 36 grand graft cases 'complete'

Image
Director General for Reli Assets Holding Company (RAHCO) Eng Benhadard Tito        Include, USD6 million in Treasury bond deal    TRL Sh238bn wagon deal, oil firm 8.5bn/- tax evasion    scores of high-profile traders and senior public officials are to face legal action following   completion of a probe into 36 grand corruption cases.         The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) yesterday reported that it has completed investigations of 36 grand corruption cases and has already submitted four of them to the Director of Public Prosecutions (DPP).     Speaking to reporters in Dar es Salaam, PCCB Acting Director General Valentino Mlowola said the cases involve high profile businessmen and senior public officials.    He said the submitted cases include a tax evasion case levied against a prominent oil firm that is accused of causing the gove...

'CUF, CCM divide worsening Isles' social rift'

Image
Political Scientist Benson Bana                      Unless both CUF and CCM take part in the March repeat of Zanzibar elections or settle on a mutually agreed way forward, a cross-section of political analysts warn the people of the Isles will be divided further.   “If CUF boycotts the rerun as the party has already indicated, it will be difficult for CCM to form a legitimate Government of National Unity (GNU) widening the already existing party line rift among Zanzibaris,” University of Dar es Salaam’s Political Science Lecturer Bashiru Ally told The Guardian yesterday in Dar es Salaam.    He said if CUF boycotts the re-run, it will be difficult for any party that wins to form a Government of National Unity (GNU). Bashiru said the section that provides for the Government of National Unity in Zanzibar’s Constitution cannot be amended ...

14 parties want Parliament to discuss Zanzibar impasse

Image
Zanzibar Electoral Commission (ZEC) chairman, Jecha Salum Jecha              POLITICAL parties which have no lawmakers in the House have called for a thorough discussion on the political impasse in the isles instead of delving on the Tegeta Escrow scandal.   At least fourteen political parties that took part in the last year’s polls have openly protested the decision announced by Zanzibar Electoral Commission (ZEC) chairman, Jecha Salum Jecha, to set a date for re-running elections in the Isles following after he nullified the results in late October.   At the moment the parties have joined the movement by Zanzibar’s main opposition party, the Civic United Front (CUF), which has claimed lead in the embattled elections.   During a meeting with journalists on Monday in Dar es Salaam, all the secretaries general of parties with no representatives in the National Assembly sa...

Mzee wa Vijisenti (CHENGE) Escrow yamlipukia bungeni. Soma Zaidi HAPA

Image
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge.            Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, jana alipata wakati mgumu Bungeni mjini hapa, baada ya wabunge wa upinzani, kumbana kwa maswali juu ya kashfa ya Tegeta Escrow, iliyoibuliwa  wakati wa Bunge la 10.   Chenge alikutwa na masahibu hayo wakati wa kujieleza na baadaye kuulizwa maswali alipokuwa akiomba kura kwa ajili ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa bunge. Mwanasheria huyo mkongwe alipendekezwa na Kamati ya Uongozi wa Bunge kuwania nafasi hiyo.   Baada ya kujieleza ili kushawishi wabunge wamchegue katika nafasi hiyo, ulifika wakati wa maswali ambapo wapinzani walimuuliza kuhusu kashfa ya Tegeta Escrow.   Hatua hiyo ilisaababisha kuchafuka kwa hali ya hewa ndani ya bunge baada ya kuibuka zomeazomea kati ya wabunge wa CCM waliokuwa wakipinga baadhi ya maswali ya wale wa upinzani walioonekana kumkamia Cheng...

Umesikia Hii>>>Mbowe ahoji askari wa Bara kupiga kura Z'bar. Soma Zaidi Hpa>>>>ki

Image
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,  Freeman Mbowe.   Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, amehoji kitendo cha kuchukuliwa kwa askari wa Tanzania Bara na kupelekwa Zanzibar kwa ajili ya kupiga kura.   Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, Mbowe ambaye ni Mbunge wa Hai (Chadema), alisema kumekuwapo na utamaduni wa kuwatumia askari kutoka Tanzania Bara na kuwapeleka Zanzibar na kuwaandikisha wakati wa uchaguzi ili kuwatumia kupiga kura katika mazingira ambayo hayapo wazi.   “Je, waziri una taarifa ya upelekaji wa vikosi Zanzibar kwa jukumu moja la kupiga kura na baada ya hapo wanarudishwa bara?,” alihoji Mbowe.   Akijibu swali hilo, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussen Mwinyi, alisema jambo hilo haliwezekani kwani utaratibu wa kupiga kura upo wazi na unaeleweka.   ”Huwezi kwenda leo Zanzibar na kuandikishwa kupiga kura, lazima uwe ni Mzanzibari mkazi, hilo lipo na ushahidi tu...

Chadema yalaani vurugu chaguzi za meya, wenyeviti halmshauri.

Image
  Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  (Tamisemi), George Simbachawene. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelaani vurugu zinazoendelea kutokea katika chaguzi za kuwapata wenyeviti wa halmashauri na mameya maeneo mbalimbali nchini.   Pia kimemtaka aliyesimamia uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Yahya Nania, kuonyesha barua iliyotoka kwa Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene, inayosema kuwa Peter Lijualikali haruhusiwi kupiga kura katika halmashauri hiyo wakati ni Mbunge wa       Jimbo la Kilombero.                                                            Chadema kimeonya asipofanya hivyo kitamshitaki mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka ...

WhatsApp Skype Zaleta Mvutano Afrika Kusini>>> Soma Zaidi HAPA>>

Image
Mvutano kuhusu WhatsApp Afrika Kusini                                                                                             Kampuni kubwa za kutoa huduma za mawasiliano nchini Afrika Kusini zimeitaka tume inayoisimamia mawasiliano ya nchi hiyo kudhibiti matumizi ya programu za mawasiliano ya mitandao ya kijamii kama vile WhatsApp na Skype. Maafisa wakuu wa kampuni ya MTN na Vodacom walifika mbele ya kamati ya bunge la Afrika Kusini wakitaka huduma ya bei nafuu ya intaneti i...

Beaking>>+ News >>Nigeria: Milipuko yaua watu Chibok

Image
Baadhi ya watu waliojeruhiwa wakipokea matubabu kufuatia shambulio la bomu la siku za nyuma nchini Nigeria                                                                                                                                          Watu 13 wameuawa nchini Nigeria baada ...

BUNGE LA WAKA MOTO>>> WABUNGE WA UPINZANI WAGOMA KUTOKA NJEEE>>

Image
Kinenuka bungeni hivi.....wapizani waliambiwa watoke nche waka goma mw Chenge akaamuru police waingie nawametolewa nche kama kawaida ccm wamebaki wanaendelea kubwabwaja utumbo wao...... V KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA CHINII>>>>>

WAZEE WA RUMBAA>>>Official Video HD Ferre Gola ft Victoria Kimani - Tucheze Watch/Download Free now

Image
WAZEE WA RUMBAA>>>Official Video HD Ferre Gola ft Victoria Kimani - Tucheze Watch/Download Free now WAZEE WA RUMBAA>>>Official Video HD Ferre Gola ft Victoria Kimani - Tucheze Watch/Download Free now                                                          DOWNLOAD Free Bofya Hapa

Matukio Mbalimbali Ya Bunge Leo Mjini Dodoma

Image
Matukio Mbalimbali Ya Bunge Leo Mjini Dodoma Waziri Mkuu, Kassim Majalliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama Buneni mjini Dodoma Januari 27, 2016. Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia)  akimwapisha Waziri wa Elimu , Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi Joyce  Ndarichako, bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2016. Waziri wa Habari,Utamaduni, Wasanii,na Michezo  Nape Nnauye akitoa  kauli Bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2016.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, Bungeni mjini Dodoma January 27, 2016. Mwenyekiti wa Bunge, Mtemi Andrew Chenge  akiongoza kikao cha Bunge mjini Dodoma Januari 27, 2016.

Wastara: Nikirudi Bongo Nakuja Kivingine..Mtashangaa

Image
Wastara: Nikirudi Bongo Nakuja Kivingine..Mtashangaa Mwigizaji wa Bongo Movies Wastara Juma MSANII wa filamu Wastara Juma ambaye hivi sasa anapata matibabu ya mguu wake nchini India, amedai akirejea nchini, atakuja kivingine katika kazi zake za uigizaji. Akizungumza kwa njia ya simu akiwa huko, Wastara alisema anam shukuru Mungu kwani anaendelea vizuri na matibabu, lakini akawaahidi mashabiki wake vitu vipya kwani safari yake huko imemuo ngezea ubunifu. “Yaani nikirudi Bongo naamini nitakuwa niko fiti na nitafanya makubwa kwa kutoa filamu kali zenye ubunifu mkubwa tofauti na zamani hivyo mashabiki wakae mkao wa kula,” alisema Wastara.
Image
Spika Job Ndugai Anaweza Kulikimbia Bunge Hili, Kiatu Kinapwaya Job Ndugai  Wakuu sitaki niongee kishabiki wala kwa hisia ila tu naongea kiuhalisia kupitia jukwaa hili!Nimejaribu kufanya ulingani wa maspika wa awamu zote zilizopita hasa baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa kwa kuwaangalia kina Pius Msekwa, Samweli Sitta na Anne Makinda na kulinganisha na Spika wa sasa mbunge wa Kongwa Mh Job Ndungai nakosa kabisa jibu ni wapi tunaelekea! Wasi wasi wangu ni kwamba kuna uwezekano wa bunge kukaa tena na kutafuta spika mwinge.Nikiwaangalia maspika wote hao watatu waliopitia kwa kuzingatia ubobezi wa siasa za nchi hii, ubobezi wa masuala ya kisheria, ubobezi wa uongozi katika utumishi wa umma ukizingatia zaidi baadhi yao walikua mawaziri na wakuu wa mikoa katika serikali zilizopita.Job Ndungai ni Afisa Wanyama pori na ndio taaluma yake hiyo, pamoja na kua na shahada ya sheria ya chuo kikuu huria lakini hiyo tu bado haitoshi kumpa uwezo wa kumudu changamoto za bunge hili ...

Baraka Da Prince Amruka Kimanga Nisha..Adai Hana Uhusiano Wowote wa Kimapenzi na Nisha

Image
Baraka Da Prince Amruka Kimanga Nisha..Adai Hana Uhusiano Wowote wa Kimapenzi na Nisha Hatimaye Baraka Da Prince ameweka wazi kuwa hakuna uhusiano wowote wa kimapenzi na Staa wa Bongo Movie Nisha ila mashabiki ndiyo wanakuza mambo. Baraka amesikika kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Afrika Radio,  akisema yeye na Bi dada ni washikaji tu na wamekuwa wakionekana sehemu mbalimbali pamoja ndiyo maana watu wanasema ni wapenzi. “Siko kwenye mahusiano offcorse na hata kama ningekuwa kwenye mahusiano sijawa  tayari kuzungumzia mahusiano yangu” Alisema Baraka na kuongeza “Nisha Mimi ni rafiki yangu bana,ni mtu ambaye nipo naye muda mwingi,hivyo sina mahusiano yoyote na Nisha” Ameongeza pia kuwa Watu wamekuwa wakimpakazia mara kibao kuwa ana mahusiano na Watu wakati si Kweli, Baadhi ya wasichana baraka aliowahi kutajwa kuwa nao kwenye mahusiano ni Agness Masogange na Menina.

Zitto Kabwe Awashukia Takururu Kwa Kushindwa Kuwafikisha Mahakamani Lake Oil na IPTL

Image
Zitto Kabwe Awashukia Takururu Kwa Kushindwa Kuwafikisha Mahakamani Lake Oil na IPTL Zitto Kabwe IKIWA imepita siku moja toka taasisi ya kupambana na Rushwa TAKUKURU kupitia kwa naibu mkurugenzi mkuu wake Valentino Mlowola kutangaza kuwa hadi kufikia sasa taasisi hiyo imefikisha mahakamani jumla ya kesi 36,Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe ameijia juu taasisi  hiyo kwa kushindwa kuichukulia hatua kampuni ya mafuta ya Like Oil ambayo inatuhumiwa kukwepa kodi. Kupitia ukurasa wake wa Facebook Zitto ameandika hivi. "Nimesoma taarifa ya ‪#‎TAKUKURU‬ kuhusu kesi zaidi ya 30 na mashauri 4 mazito yanayopelekwa mahakamani hivi karibuni. LakeOil anatuhumiwa kukwepa kodi tshs 8 bilioni na kupewa miezi 2 walipe. IPTL/PAP inalipwa kila mwezi 8 bilioni na #TAKUKURU wameufyata kueleza umma hatua wanazochukua. Miezi 3 sasa toka Magufuli aingie madarakani, Harbinder Singh Seth keshavuta tshs 24 bilioni. Kama kawaida tunaanza kuona PR work ya vipaza sauti wa IPTL/PAP wakipewa k...

Ujauzito wa Wema Sepetu Waanza Kuonekana..Team Wema Sepetu Wafurahia

Image
Ujauzito wa Wema Sepetu Waanza Kuonekana..Team Wema Sepetu Wafurahia Ujauzito wa Staa na Mrembo wa Bongo Asiyeishiwa na Skendo hatimae waanza kuonekana wazi wazi kitu ambacho kimewafurahisha Team Wema Sepetu baada ya boss huyo wao kushutumiwa kuwa ni mgumba kwa muda mrefu... Hapa ninekuwekea picha ujionee: http://nyota5.blogspot.com/

Hotel ya Mtoto wa Amani Karume yateketea kwa moto, Vijana wawili wahusishwa

Image
Hotel ya Mtoto wa Amani Karume yateketea kwa moto, Vijana wawili wahusishwa Moto mkubwa umeteketeza hoteli ya kitalii ya Konokono Beach Resort iliyoko Michamvi mkoa wa kusini Unguja, inayomilikiwa na mtoto wa rais wa zamani wa Zanzibar, Amina Karume pamoja na wawekezaji wawili kutoka nje ya nchi. Kamanda wa polisi mkoa wa Kusini Unguja, Juma Saadi amesema kuwa moto huo uliteketeza nyumba tatu na mgahawa mmoja katika hoteli hiyo, ni watu wawili waliokuwa wakichoma nyasi karibu na hotel hiyo. Aliwataja vijana hao kuwa ni Meshak Amos Elisha na Mohamed Abdallah Hassan. Kamanda Saadi aliwataka wananchi kupuuza habari zilizoenea zinazohusisha tukio hilo na mambo ya kisiasa, husasan vyombo vya habari vya kimataifa vilivyoripoti habari hiyo. “Wakati wa kuchoma moto ndani ya uzio huo, ulizuka upepo mkali majira ya saa tano na nusu na kusababisha nyumba moja ya makuti katika hoteli ile kushika moto na kusababisha hasara hiyo,” kamanda Saadi alifafanua. Kikos...
Image
MAALIM SEIF KUUSHANGAZA ULIMWENGU LEO. POLISI WAONYA. VIJANA wa Chama cha Wananchi kupitia jumuiya yao (JUVI-CUF) wameweka msimamo kuwa ‘iwe iwavyo’ watafanya maandamano kesho visiwani humo kwa kuwa ni haki yao kufanya hivyo licha ya Jeshi la Polisi kupinga. Jambo hilo linaelezwa kuwa ni juhudi za kuendelea kuunga mkono harakati za Maalim Seif za kukataa uchaguzi kurudiwa ili kuitaka tume ya uchaguzi kutangaza matokeo yale yale ya awali. Maandamano hayo yameelezwa kuwa ni sehemu kumbukumbu ya Wazanzibari waliouawa mwaka 2000 kutokana na vurugu za kisiasa zilizotokea chini ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Maandamano hayo yametangazwa ikiwa ni siku chache baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha kutangaza tarehe 20 Machi mwaka huu kuwa siku ya kurudia uchaguzi visiwani humo. Jecha alifuta matokeo ya uchaguzi mkuu visiwani humo uliofanyika tarehe 25 Oktoba mwaka jana kwa madai ya kuwepo kwa kasoro mbalimbali jambo ambalo lilipingwa na C...
Image
DR SLAA ATIA HURUMA NA KUHITAJI MSAMAHA WA HILI
Image
Waziri Kitwanga Aanika Siri Ya Kutumbuliwa Kwa Vigogo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) waliokumbwa na ‘operesheni tumbua majipu’, walikutwa na mali nyingi “kupita maelezo”, kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga. Operesheni hiyo, ambayo inatekelezwa tangu kuingia madarakani kwa Serikali ya Awamu ya Tano, juzi ilimkumba Dickson Maimu, ambaye alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nida, Joseph Makani (Mkurugenzi wa Tehama), Rahel Mapande (Ofisa Ugavi Mkuu), Sabrina Nyoni (Mkurugenzi wa Sheria) na George Ntalima ambaye ni Ofisa Usafirishaji. Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga alisema hatua ya kutengua na kusimamisha watumishi hao imechukuliwa baada ya uchunguzi wa hali ya juu kwenye mamlaka hiyo. Ingawa hakutana kuingia kwa undani akihofia kuingilia uchunguzi, Kitwanga alisema katika uchunguzi wao, moja ya hatua ilikuwa ni kukamata mali za wafan...
Image
Viongozi wa UKAWA Kutoa Msimamo Wao Juu ya Suala la Zanzibar UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umesema utatoa msimamo juu ya hali ya siasa ya Zanzibar baada ya kikao cha kamati tendaji kuketi na kutoa msimamo. Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe alisema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Dodoma. Alisema walifanya mazungumzo ya mashauriano ya hali ya siasa ya Zanzibar, yaliyohudhuriwa na viongozi wa ngazi za juu wa nyama vya upinzani, wakiongozwa na aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Shariff Hamad na mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowasa. “Januari 28 keshokutwa kutakuwa na kamati ya utendaji na kikao hicho, kitatoa msimamo wa kitu gani kifanyike kuhusiana na siasa za Zanzibar,” alisema. Pia, alisema Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF), litatoa msimamo wake kuhusu suala la Zanzibar. Mbunge wa Malindi kwa tiketi ya CUF, Ally Salehe alisema wanaamini Ra...
Image
                          Hausigeli Afariki Kwa Kulawitiwa Na Bosi Wake   Mtumishi  wa nyumbani mwenye umri wa miaka 23, aliyekuwa akifanyakazi katika nyumba iliyo eneo la Mwika-Mrimbo, Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro, amekufa kwa madai ya kulawitiwa na bosi wake, Zablon Shaaban (32). Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, William Nyello jana alithibitisha akisema tukio hilo ni la Januari 25, mwaka huu saa 3 usiku katika kata hiyo.  Alisema mtumishi huyo wa nyumbani alifanyiwa kitendo hicho na bosi wake aliyekuwa akiishi naye baada ya kurejea nyumbani wakitokea matembezini jioni. “Mtuhumiwa alikuwa akiishi na marehemu nyumba moja, waliporejea katika matembezi ya jioni na wakati wa kulala, mtuhumiwa alimfuata marehemu chumbani kwake na kumkaba koo na kumlawiti,” alisema Nyello. Kaimu Kamanda alisem...