Zitto Kabwe Awashukia Takururu Kwa Kushindwa Kuwafikisha Mahakamani Lake Oil na IPTL
Zitto Kabwe Awashukia Takururu Kwa Kushindwa Kuwafikisha Mahakamani Lake Oil na IPTL
Zitto Kabwe |
Kupitia ukurasa wake wa Facebook Zitto ameandika hivi.
"Nimesoma taarifa ya #TAKUKURU kuhusu kesi zaidi ya 30 na mashauri 4 mazito yanayopelekwa mahakamani hivi karibuni. LakeOil anatuhumiwa kukwepa kodi tshs 8 bilioni na kupewa miezi 2 walipe. IPTL/PAP inalipwa kila mwezi 8 bilioni na #TAKUKURU wameufyata kueleza umma hatua wanazochukua. Miezi 3 sasa toka Magufuli aingie madarakani, Harbinder Singh Seth keshavuta tshs 24 bilioni. Kama kawaida tunaanza kuona PR work ya vipaza sauti wa IPTL/PAP wakipewa kurasa za mbele za magazeti makubwa na yenye heshima nchini. Usaha wa jipu la IPTL unanuka"
Comments
Post a Comment