Wastara: Nikirudi Bongo Nakuja Kivingine..Mtashangaa
Wastara: Nikirudi Bongo Nakuja Kivingine..Mtashangaa
Mwigizaji wa Bongo Movies Wastara Juma |
Akizungumza kwa njia ya simu akiwa huko, Wastara alisema anam shukuru Mungu kwani anaendelea vizuri na matibabu, lakini akawaahidi mashabiki wake vitu vipya kwani safari yake huko imemuo ngezea ubunifu.
“Yaani nikirudi Bongo naamini nitakuwa niko fiti na nitafanya makubwa kwa kutoa filamu kali zenye ubunifu mkubwa tofauti na zamani hivyo mashabiki wakae mkao wa kula,” alisema Wastara.
Comments
Post a Comment