Mugabe "mzima kama kigongo"
Rais Robert Mugabe asema ni mzima kama kigongo
Rais Robert Mugabe
wa Zimbabwe amerudi nyumbani baada ya likizo ya mwezi mmoja nchi za nje,
juma moja baada ya wakuu kukanusha ripoti kwamba alishikwa na ugonjwa
wa moyo.
Anakutana na kiongozi mwengine mkongwe wa Afrika, Teodoro Obiang Nguema wa Equatorial Guinea, ambaye anafanya ziara rasmi nchini Zimbabwe.
Rais Nguema ameongoza Equatorial Guinea kwa miaka 36, mwaka mmoja zaidi ya Rais Mugabe.
Comments
Post a Comment