Misri yatofautiana na IS kuhusu shambulio

 
Rais Abdel Fattah al Sisi 

 
Kundi la Islamic State limekiri kutekeleza shambulio katika mji wa Cairo nchini Misri ambalo liliwaua takriban watu tisa wengi wao wakiwa maafisa wa polisi.

Lakini mamlaka imesema kuwa mlipuko huo ulitokea wakati wa uvamizi siku ya Alhamisi katika maficho yanayotumiwa na wapiganaji wa kundi la Muslim

Shambulio Misri 

 
Zaidi ya watu 13 walijeruhiwa akiwemo afisa mkuu wa polisi katika eneo la Giza,ambalo liko karibu na eneo maarufu lenye piramidi.

Serikali imeimarisha usalama huku taifa hilo likikaribia kuadhimisha miaka mitano ya mapinduzi yaliomuondoa rais wa muda mrefu wa taifa hilo Hosni Mubarak.

Wapiganaji wa Islamic State 
 
Vuguvugu la Muslim brotherhood,ambalo ndilo lililomuweka aliyekuwa rais Mohammed Morsi ambaye alichagliwa baada ya mapinduzi ilipigwa marufuku.

Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA PICHA 30 ZA MREMBO AGNES MASOGANGE AKIJIACHIA KISTAA NJE YA NCHI

Gamboshi: Makao Makuu ya Uchawi na Wachawi yaliyopo Shinyanga, Tanzania

14 parties want Parliament to discuss Zanzibar impasse