Michezo Cheki video ya Ronaldo, Bale, Ramos na wachezaji wengine wa Real Madrid wakimpokea Zidane
Ikiwa ni siku chache zimepita toka uongozi wa Real Madrid utangaze kumfuta kazi aliyekuwa kocha wa timu hiyo Rafael Benitez na nafasi yake kuchukuliwa na mkongwe wa zamani wa timu hiyo Zinedine Zidane. Zimenifikia video za Zidane alivyowasili katika vyumba vya kubadilishia nguo vya Real Madrid na kukutana na wachezaji wake kwa siku ya kwanza kama kocha wa timu hiyo, lakini pamoja na video ya mazoezi yake ya kwanza kama kocha wa timu hiyo.
Comments
Post a Comment