Ijue sababu sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video)

Bado headlines za anayetajwa kuwa kocha ghali kwa sasa duniani Pep Guardiola anakwenda kufundisha klabu gani zinazidi kuchukua nafasi, tayari Pep Guardiola ametaja nchi atakayokwenda kufundisha soka baada ya kukiri kuwa hatoendelea na kuifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani.
Pep Guardiola amekiri kuamua kuondoka ndani ya klabu ya FC Bayern, baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka mitatu, sababu zinazomfanya Guardiola aondoke klabu ya FC Bayern ni kuwa yeye bado kijana na anahitaji changamoto mpya katika maisha yake ya ukocha.
Chelsea-v-Bayern-Munich-Pep-Guardiola-Franck-_2995859
Lakini Guardiola kathibitisha kuwa asingependa kuustafu ukocha bila kufundisha klabu za Uingereza, hivyo kwa kauli hiyo tayari Guardiola anakuwa katoa uhakika wa kwenda Uingereza ila klabu bado haipo wazi atakayojiunga nayo ” Nafikiri mimi bado kijana, ndio kwanza nina umri wa miaka 44, nahitaji changamoto mpya na nisingependa kustaafu bila kufundisha soka Uingereza” >>> Guardiola



Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA PICHA 30 ZA MREMBO AGNES MASOGANGE AKIJIACHIA KISTAA NJE YA NCHI

Gamboshi: Makao Makuu ya Uchawi na Wachawi yaliyopo Shinyanga, Tanzania

14 parties want Parliament to discuss Zanzibar impasse