Milango ya Cinema Dar na Arusha leo ziko hizi kali saba, ya Jennifer Lawrence ndani……..
Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam na Arusha ratiba ya movie na Trailers zake nimekuwekea hapa mtu wangu.
Location ni Mlimani City-Cinema Century, Oysterbay pamoja na Quality Center kwa wakazi wa Dar es Salaam na upande wa wakazi wa Arusha ni Mkuki Dar city
Tamasha
Comments
Post a Comment