Midundo ya Diamond Platnumz, AY, Ray C, TID, Afande Sele kwenye video zao kali enzi hizo.. (+Video)

Kama ambavyo tunakutana na video kali, mastaa wanatoboa mipaka na kugusa headlines za kimataifa, wanapata Tuzo, show kali !!
Huu muziki wa Bongo Fleva una safari yake ndefu tu, wengine wapo kwenye game wengine hawapo… nakukumbusha na vitu vya zamani kidogo mtu wangu, hapa ninazo video za kitambo kidogo za mastaa mbalimbali TZ kwenye ubora wao yani enzi hizo.

Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA PICHA 30 ZA MREMBO AGNES MASOGANGE AKIJIACHIA KISTAA NJE YA NCHI

Gamboshi: Makao Makuu ya Uchawi na Wachawi yaliyopo Shinyanga, Tanzania

14 parties want Parliament to discuss Zanzibar impasse