Kama Real Madrid watamuuza Cristiano Ronaldo, unajua Rafael Benitez atasemaje? …


Headlines nyingine za soka kutoka Hispania zinazo muhusu staa wa soka wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo na kocha wa klabu yake Rafael Benitez zimenifikia November 29, kuhusu wawili hao ambao wamekuwa wakihusishwa kutokuwa na mahusiano mazuri kwa siku za karibuni na sababu zimekuwa zikitajwa tofauti tofauti.
Stori kutoka mtandao wa mirror.co.uk zinataja kuwa kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez hatolalamika wala kuchangia chochote kama Real Madrid wataamua kumuuza Ronaldo, hizi ni stori za uchunguzi ambazo pia zinadhiirisha kuwa wawili hao hawapo vizuri kwani kwa nyota kama Ronaldo kuondoka katika klabu fulani na kocha wake akubali kirahisi huwa ni ngumu sana.
Shakhtar-Donetsk-vs-Real-Madrid

Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA PICHA 30 ZA MREMBO AGNES MASOGANGE AKIJIACHIA KISTAA NJE YA NCHI

Gamboshi: Makao Makuu ya Uchawi na Wachawi yaliyopo Shinyanga, Tanzania

14 parties want Parliament to discuss Zanzibar impasse