Waziri Mkuu wa muda wa Uhispania amekataa ombo la kuunda Serikali mpya.

 


 
Waziri mkuu wa Uhispania Mariana Rajoy 
 

Waziri Mkuu wa muda wa Uhispania amekataa ombo la kuunda Serikali mpya.

Bwana Rajoy, ambaye chama chake kisichopendelea mabadiliko cha Popular Party kilishinda viti vingi vya Bunge, bila kuwa na idadi ya kutosha ya kuunda Serikali, katika uchaguzi wa mwezi uliopita, alikataa ombi la Mfalme Filipe kuwa aunde Serikali.

Kwa mara ya kwanza tangu demokrasia irejee nchini Uhispania, Mfalme alikuwa mwenyekiti wa mkutano ulioshirikisha vyama vya kisiasa vinavyopingana

Pedro Sanchez                                                                                                                                    

Ana nia ya kumaliza hali ya kutoafikiana katika kuunda Serikali.

Waandishi wanasema kuwa huenda Mfalme huyo akamsihi kiongozi wa chama cha kisosholisti Pedro Sanchez kuunda serikali mpya.


Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA PICHA 30 ZA MREMBO AGNES MASOGANGE AKIJIACHIA KISTAA NJE YA NCHI

Gamboshi: Makao Makuu ya Uchawi na Wachawi yaliyopo Shinyanga, Tanzania