UNA YAJUA Magoli matatu yaliofanikiwa kuingia fainali ya goli bora la mwaka 2015 la FIFA? na Messi yupo (+Video)
Baada ya November 7 shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutangaza magoli 10 yaliofanikiwa kuingia katika mchujo wa kuchagua goli bora la mwaka 2015, November 30 ndio siku ambayo yachujwa na kubakia magoli matatu pekee ambayo January 11 2016 Zurich Uswiss wakati wa utoaji wa Tuzo ya Ballon d’Or ndio litatangazwa goli bora kwa mwaka 2015.
Wachezaji watatu ambao magoli yao yamefanikiwa kuingia katika hatua hiyo ni Alessandro Florenzi kutokea AS Roma, Lionel Messi wa FC Barcelona na Wendell Lira wa klabu ya Vila Nova.
Video ya goli la Wendell Lira
Video ya goli la Alessandro FlorenziVideo ya Lionel Messi
Comments
Post a Comment