YEMI ALADE AANGUKIA KWA ‘SERENGETI BOI’
Staa wa muziki Nigeria, Yemi Alade. STAA wa muziki Nigeria, Yemi Alade huenda amempata ‘Johnny’ baada ya tetesi kusambaa kuwa ameangukia penzi la dogodogo ‘serengeti boi’ aliyejulikana kwa jina la Fasesin Ayobami ‘Ay-B.’ Fasesin Ayobami ‘Ay-B.’ anayedaiwa kuwa na uhusiano na Yemi Alade. Jalada zima linafunguka kuwa Yemi kwa sasa hasikii haozi kwa dogo huyo ambaye pia ni msanii wa muziki anayekuja kwa kasi na kuonesha hivyo wameshirikiana katika wimbo wa kimahaba uitwao Like You. Dogo huyo alipoulizwa kuhusiana na Yemi, alikanusha kwa kusema; “Ni vigumu sana kumponda mtu kama Yemi, anastahili kila aina ya tahadhari, ni kama ndugu yangu yaani uhusiano wa kaka na dada na siyo mpenzi wangu hivyo siwezi kumponda kwa lolote.” Staa wa muziki Nigeria, Yemi Alade. STAA wa muziki Nigeria, Yemi Alade huenda amempata ‘Johnny’ baada ya tetesi kusambaa kuwa ameangukia penzi la dogodogo ‘serengeti boi’ aliyejulikana kwa jina la Fasesin Ayobami ‘Ay-B.’ Fasesin Ayobami ‘Ay-B.’ anayeda...