Posts

Showing posts from February, 2015

Kijana: Ukipenda Jimama au Mwanamke Mwenye Pesa Uvumilie Vipigo/Kugombezwa Hadharani

Image
Wale vijana wenzangu mnaopenda majimama (kulelewa) mkubali makofi, makonzi sometimes mitama hadharani, pia hata kufokewa hadharani. Maana wengi wa hawa majimama wana stress za kutosha lakini usisahau ndo yanayowaweka baadhi ya vijana mjini kwa kila kitu, la muhimu ukishagombezwa we jidai kujichekesha tu ili mambo yaishe. Pia nawasihi sana baadhi vijana tusiwapende hawa majimama tutafute maisha yetu, tusipende maisha ya bure kwani tunaweza kupata madhara mengi ikiwemo magonjwa UKIMWI na kukosa vijana wa kujenga taifa.

Johari Akiri Kumpora Kimapenzi Mwigizaji Ray Kutoka kwa Mainda

Image
STAA wa sinema za Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amekiri kwamba wakati anaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na nyota wa fani hiyo, Vincent Kigosi ‘Ray’ alijua yupo na nguli wa filamu, Ruth Suka ‘Mainda’, Johari Amekiri Baada ya kuulizwa na Gazeti moja maarufu ....

Jack Patrick Aandika Barua Akiwa Gerezani Kuhusu Mapenzi ya Diamond na Zari , Vanessa na Jux na Aunty na Iyobo

Image
Wakati akiendelea kutumikia kifungo akiwa jela huko Macau, Hong Kong nchini China, modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff  ‘Jack Patrick’ amenena mazito juu ya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Juma Khalid ‘Jux’, Vanessa Mdee, Aunt Ezekiel na Moze Iyobo. BARUA KUTOKA CHINA Jack aliyekamatwa nchini humo kwa msala wa madawa ya kulevya ‘unga’ mwaka 2013 kisha kufungwa miaka sita kwenye Gereza la Macau, hivi karibuni alilitumia gazeti hili barua nzito akionesha kushtushwa na vitu fulani vya mastaa hao. MIMBA YA AUNT Moja kati ya mambo yaliyomshtua Jack ni mimba ya mwigizaji Aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu, Sunday Demonte anayodaiwa kupachikwa na mcheza shoo wa Diamond, Moze Iyobo. Hata hivyo, katika skendo hiyo, Jack aliwataka watu wamuache Aunt apumzike kwani mapenzi hayachagui hasa kama ana furaha. “Nimeshtushwa na udaku special Lol! Sasa Aunt ameamua kutulia na Iyobo…acha apumzike mapenzi hayachagui as long a...

Mrembo Huddah Monroe Asema Kazi yake ya Kuwapa Raha Wanaume Inalipa..Aonyesha Kadi ya Range Rover Analomiliki

Image
Mrembo Huddah Monroe Mrembo wa Kenya Huddah Monroe Amejitokeza na kuwaponda wale waandishi wa Habari Bloggers wanaosema gari aina la Range Rover analoendesha kwa sasa ameazima kwa mtu na kusema kuwa kazi anayofanya (Socialite ) ya Kutoa Escort kwa kuwapa raha wanaume na kuhuzuria events mbali mbali inamlipa sana kiasi hawezi azima gari ...Huddah Ameweka Mtandaoni kadi ya gari hiyo ambalo ni la gharama sana kwa mtu wa kawaida ikionyesha jina lake halisi kama mmiliki halali wa Ndinga hiyo matata Kadi ya Gari aina ya Ronger Rover ikionyesha jina halisi la Huddah

Diamond, Ommy Dimpoz, January na wengine walaani mauaji ya albino

Image
Mauaji ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja, Yohana Bahati huko Chato yamewaumiza watu wengi si Tanzania tu bali dunia nzima. Kifo cha kusikitisha cha mtoto huyo aliyekutwa amekatwa miguu na mikono kimeandikwa na mashirika yote makubwa ya habari duniani na hivyo kuipa Tanzania sifa mbaya. Wananchi wamelaani vikali kitendo hicho na kuitaka serikali kuchukua hatua kuhakikisha haviendelei tena. Hivi ndivyo mastaa wa Tanzania nao walivyoungana na wananchi wengine kueleza waliyonayo moyoni. Diamond Ndugu zangu! nafkiri ni Muda wa kubadilika sasa…Tuacheni fikra potofu, za Kipuuzi na ukatili Usio na Maana.. Hivi inamaa unataka kuniambia na hao kina Bill gates Mzee wa kuku, Carlos Slim, Amancio Ortega , Bakhresa na Matajiri wakubwa Duniani pia Walitajirika kupitia Ukatilii huu wa Ma Albino…??? Juhudi na Utendaji wako wa Kazi ndio utao kufanya Uendelee na kufikia Hayo Malengo unayoyataka… Tuache kujidanganya na Kuwatesa Ndugu zetu wasio na Hatia. Ommy Dimpoz Tanzania inazidi kupata sif...

Picha: Huddah Monroe Achefua Tena Watu Mtandaoni, Atupia Picha Akiwa Mtupu Kitandani

Image
Huddah Monroe ameshajikubali kuwa ni ‘good girl gone bad’ na ndio maana haoni tatizo kuweka picha akiwa kitandani kama alivyozaliwa. Mrembo huyo wa Kenya amepost picha kwenye akaunti yake ya Facebook akiwa kitandani huku akiwa amejifunika na shuka sehemu ndogo tu ya mwili wake kuficha sehemu ny*ti. Mashabiki wake hawakusita kumchana.

FAMILIA, POLISI NA KANISA WAMTENGA ASKARI ALIYEJIUA KWA RISASI MDOMONI....AZIKWA BILA HUDUMA ZA KIDINI WALA KIJESHI

Image
Polisi aliyejiua kwa kujipiga risasi mdomoni, Aloyce Mafuru (24), amezikwa katika makaburi ya Mugumu, Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara bila huduma za kidini na kijeshi. Askari huyo aliyekuwa dereva wa Kamanda wa Polisi Wilaya ya Manyoni, Alute Makita alijiua Februari 2 nyumbani kwake na kuacha ujumbe kuwa polisi wasiangike kufanya uchunguzi kwani huo ni uamuzi wake binafsi. Paroko wa Kanisa Katoliki Mugumu, Padri Aloyce Magabe jana aliwaeleza waombolezaji kuwa ingawa Mafuru alipata kipaimara, lakini kujiua kumesababisha kanisa kushindwa kuendesha ibada ya mazishi kwa kuwa kitendo hicho siyo mapenzi ya Mungu. “Haifai kusema bwana ametoa na bwana ametwaa, maana tendo alilofanya huyu  halimtukuzi Mungu bali shetani, maana ni kama ilivyofanyika kwa Kaini na Abel. “Kaini alimuua ndugu yake na Mungu akamwambia atubu dhambi, akawa mkaidi kwa sababu alikuwa na roho ya shetani na matokeo yake alipata shida,” alisema Padri Magabe.  Aliwataka waombolezaji kushirikisha w...

RAY C AJITOLEA KUMSAIDIA DAZ BABA KUACHA MADAWA YA KULEVYA

Image
Staa wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameapa kumsaidia mwanamuziki mwenzake David Jacob ‘Daz Baba’ anayedaiwa kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya. Chanzo cha kuaminika kimeeleza kuwa, Ray C amekuwa akiumizwa na hali aliyonayo Daz Baba na amefanya kila awezavyo hadi kuongea naye ili aanze kutumia dozi ya Methadone ambayo wengi huipata katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar. “ Ni kweli hali ya Daz Baba inasikitisha na Ray C huyuhuyu unayemjua kaongea naye na amemshawishi kuanza kutumia dozi,”  kilidai chanzo hicho ambacho ni rafiki wa Ray C. Baada ya kuzipata taarifa hizo, mwandishi wetu alimtafuta Ray C, alipopatikana alikiri kuanza mazungumzo na Daz ila akaomba asizungumzie walipofikia kwa sasa.

DIAMOND AKANUSHA KUPEWA MILIONI 500 NA LOWASSA ILI AMPIGIE KAMPENI....ASEMA TAARIFA HIZO ZINALENGO LA KUMCHAFUA LOWASSA

Image
Meneja  wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).   Akizungumza na Mpekuzi, Babu Tale alisema watakuwa wehu kukataa fedha nyingi kiasi hicho wakati wenyewe wanafanya muziki ili kupata fedha, lakini ukweli ni kwamba hawajapewa kitu chochote.   Alisema hata hivyo Diamond yupo tayari kumfanyia kampeni mgombea yeyote atakayetangazwa kuiwakilisha CCM.    “Kama kweli tungekataa fedha hizo hata Mwenyezi Mungu angetulaani, ila naamini taarifa hizo zitakuwa zinasambazwa na wapinzani wa kisiasa wa kiongozi huyo kwa  lengo la kumchafua, hajawahi kutupa ofa hiyo,” alisema Babu Tale.   Meneja huyo alitoa ufafanuzi huo baada ya hivi karibuni kuzagaa kwa taarifa ambazo si za kweli, kwamba walipokea kiasi hicho ili kumpigia kampeni Lowassa.

Mama Wema Sepetu Afurahia Ujauzito wa Zari, Aombea Zari Azidi Kumganda Diamond..Kisa na Mkasa Huu Hapa

Image
Udaku Special Blog: SIKU chache baada ya kuvuja kwa picha zinazomuonesha mpenzi wa sasa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akiwa na kitumbo kinachoashiria kukua kwa ujauzito, mama mzazi wa zilipendwa wa Diamond, Wema Sepetu ‘Madam’, Mariam Sepetu amefunguka kuwa amefurahia tukio hilo. Mzazi huyo ambaye ni fundi wa kuzungumza, alisema tukio hilo limemfurahisha kwani anaamini ndoto za Diamond kurudiana na binti yake zitakuwa zimeyeyuka rasmi kama alivyokuwa akimuomba Mungu siku zote. Kuonesha kwamba amefurahishwa na kitendo hicho, alimtaka Zari aendelee kumpenda Diamond, amgande kila idara ili isije kutokea akarudi kwa binti yake ambaye walimwagana mwishoni mwa mwaka jana. “Yaani kama inawezekana naomba sana huyo Zari azidi kumganda Diamond, asimpe muda wa kugeuka nyuma kabisa ili mambo mengine yaendelee kwa sababu uhusiano wa Diamond na mwanangu haukuwa na baraka zangu,” alisema mama Wema. Mama Sepetu aliongeza kuwa, hana maana ya kumchagulia mchum...

NEW AUDIO Sadim_ Ft_ Ally_ Mix-_Samaki DOWNLOAD HAPA

Image

NEW AUDIO Macky2_Ft._Feza-Living-My-Life

Image

UKWELI HUU HAPA:MWASITI WA THT NA SAM MISAGO NI WAPENZI? MKASA MZIMA UPO HAPA

Image
Mwasiti Almas amezungumzia salamu ya pongezi aliyopewa na Diamond Platnumz juzi kwenye siku yake ya kuzaliwa iliyovumbua uhusiano usiojulikana kati yake na mtangazaji wa Power Jams ya EA Radio, Sam Misago. Katika salamu hizo, Diamond aliandika: Happy Birthday Chitty… muke halali ya @Sammisago.” Hata hivyo Mwasiti amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Misago. “Diamond mbona ameniweza,” Mwasiti ameiambia Bongo5. “Sikushangaa yeye kuniwish lakini nimeshangaa response ya watu. In short mimi sijaolewa. Yule (Misago) sio boyfriend wangu, mimi yule ni rafiki yangu, hakuna kitu chochote kinachoendelea. Sam mimi namjua muda mrefu sana, sijawahi kusema mahusiano yangu yoyote lakini nikiolewa nitasema,” ameongeza. Sam Misago. “Sijui Nasib kayatoa wapi haya mambo. Sam sio mwanaume wa kukupa aibu yupo kama wanaume wengine, yule na mimi naamini ana girlfriend wake na mimi na boyfriend wangu, kwahiyo sielewi Nasibu kwakweli yaani hili suala limeleta mtikisiko. Nimepigiwa na watu w...

Jina Kabula na Mwanamuziki Bushoke Wapigana Kibuti, Kabula Atoa ya Rohoni

Image
MSANII wa filamu Bongo , Miriam Jolwa ‘ Jini Kabula ’ na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu , Ruta Maximilian Bushoke wamemwagana na hakuna cha ndoa tena . Akizungumza Kabula alitoa ya rohoni na kusema kuwa wamefikia hatua hiyo baada ya kuona mwenzake haoneshi msimamo katika mkakati wao wa kuoana hivyo kwa sasa wamebaki kuwa marafiki wa kawaida tu kwa sababu wote ni wasanii. “Tumeshaachana , mwaka huu nimeuanza kwa kuwa bize na mambo yangu mengine ya kikazi siyo mapenzi tena . Tulikuwa tumepanga vizuri kwamba tutaoana na kuamini hivyo kwa kipindi chote alichokuwa nchini Afrika Kusini. ” “Baada ya mwenzangu kutua Bongo , hakuonesha dalili yoyote ya kutekeleza hilo suala la ndoa . Sikuwa na uwezo wa kusema nimfunge kamba ndiyo nimlazimishe kumpeleka kwetu tuoane , nimeona bora niachane naye kwani nimeshachoka na maisha ya uzinifu nahitaji kuingia katika ndoa , ” alisema Kabula . Bushoke alipotafutwa kwenye simu hakupatikana lakini kwa mujibu wa marafiki zake wa karibu wanasema kuwa ames...

Lulu Michael Aamua Kurudi Shule, Adaiwa Kuwafunika Wenzake Kimasomo Chuoni Hapo

Image
Mrembo na mwigizaji wa filamu,  Elizabeth Michael ‘Lulu’ ,  ambae kwa sasa ameamua kupiga kitabu , anadaiwa kuwafunika kimasomo wanafunzi wenzake katika Chuo cha ....... Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kilichopo Magogoni-Posta jijini Dar. Akizungumza hivi karibuni chuoni hapo, mmoja wa wanafunzi wanaosoma na mwigizaji huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema Lulu amekuwa akihudhuria vizuri darasani na kufanya vyema kwenye masomo yake mbalimbali zaidi ya wanafunzi wengi anaosoma nao. “Lulu yupo vizuri sana kimasomo, anawapita hadi wanafunzi wengine. Mahudhurio yake ni mazuri na anafanya mitihani yake na kufaulu. “Anavaa nguo zinazostahili na hapa chuoni kila mwanafunzi anampenda kwa sababu yupo ‘peace’ ile mbaya,” alisema mnyetishaji huyo na kusisitiza kuwa msanii huyo haishi kama supastaa. Kwa kifupi unaweza sema Lulu amekuwa mtamu kama Mcharo!!

DIAMOND, ZARI NDOA YANUKIA! DIAMOND AANZ KUMBADILI KIDINI, AMUONYESHA MALI ZAKE DAR

Image
WAKATI mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ akiwa nchini India kwa matibabu ya tatizo la kiafya linalodaiwa kuwa ni kupooza, hapa Bongo dalili za Diamond na mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady kufunga ndoa zinanukia. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mpenzi wake, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady. Chanzo makini kimeliambia Ijumaa Wikienda kwamba, licha ya mama Diamond kupelekwa India Januari 27, mwaka huu na msafara wa watu wawili, nyuma, Zari alitua Bongo tangu Januari 30, mwaka huu lengo kubwa likiwa kumuuguza mama mkwe wake huyo. ATUA DAR, AENDA SINZA-MORI Chanzo kikazidi kuweka wazi kuwa mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Diamond alimpokea na kwenda naye nyumbani kwake, Sinza-Mori jijini Dar bila kumwambia kama mama yake amepelekwa India kwa matibabu. Mtoto mzuri, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady akielekea kw...

Post ya Zari Huko Instagram Yazua Jambo, ni Baada ya Kumtakia Heri ya Siku ya Kuzaliwa Wifi yake

Image
MPENZI wa staa wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Zarinah Hassan 'The Boss Lady' amemtakia heri ya kuzaliwa wifi yake Esma kupitia akaunti yake ya Instagram huku post yake ikizua jambo kwa mashabiki. Zari ambaye bado yupo Bongo, katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai anatafuta kiki na baadhi wakimtolea maneno ya kuudhi. Usahihi alitakiwa kutumia neno WIFI na siyo SHEMEJI ambalo huwa linatumika kwa mvulana! Esma ni dada wa Diamond ambaye ameolewa na Petiti Man.